Hizi ni za ubia ina maana usimamizi utakuwepo mwekezaji awezi kukubali kupata hasara so matengenezo yatakuwepo pia mda utazingatiwaTATIZO SIO MABASI, USIMAMIZI NA UONGOZI
Wangeweka madirisha mapana iwe rahisi kuingia,pindi mabasi yatakapokuwa machacheTanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
View attachment 3434183View attachment 3434184
Wanaanzaga kwa mkwalaTunazipa miezi 6 ya kutamba 😀 baada ya hapo zitashinda gereji za gerezani, Wabongo unawajua unawaskia?
Zinanguvu ya kupanda milima ya kimara na mwezi?Tanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
View attachment 3434183View attachment 3434184