ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,544
Mageuzi yanapokuja,huja na maumivu,kuwa mstahamilivu,zinakuja basi zingine 200Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!
wameturudisha miaka 30 nyuma.inafanana na miaka ya themanini,enzi zile tukiwa watoto tunasikia Orchestra Toma Toma wakipiga wimbo wa "Nachelewa stand ya bus bwana" kuashiria mume anayegombana na mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani toka kazini.Wakati ule jijini Dar hakukuwa na foleni za magari bali foleni kwenye vituo vya mabasi ili kuwania usafiri.Tulishatoka huko sasa ni rasmi tumerudi huko.Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!
Kwanini wamezuia kabla hawajaleta hizo bus 200??Mageuzi yanapokuja,huja na maumivu,kuwa mstahamilivu,zinakuja basi zingine 200
Hakuna ustaarabu kwenye usafiri ule,jizoezeni mapema mambo ya digital,wabongo mmezoea sana shida,umezoea upigiwe kelele na mateja,ubanane na konda hajafua uniformKwanini wamezuia kabla hawajaleta hizo bus 200??
Awali walitangazaga muda wa kufunga kazi ni SAA sita ucku lkn kiukwel SAA moja wanaenda paki gar na watu wanahitaji usafiri......sijaona bado mana ya kuweka mwendokasi na kuondoa gar binafsiKwa kweli imekuwa kerooo mnakaa kituoni hata 50mnts likija bus abiria kibao kila MTU ana haraka ,mnajazana mpk huruma yaani kupata hata tb ni rahisi
Nadhan hicho kipindi kilikosewa kuwaitahao jamaa badala yake wangetakiwa kuwepo watumiaji wa usafiri huu na kutoa changamoto zilizopoJana Itv kipimajoto walikuwepo hawa jamaa....nilishangaa sana maelezo yao kuhusu haya mabasi....yaan blahblah mpaka basi.
Wasingeondoa za binafsi kwanza ili wakisha ona wanajitosheleza tuu ndio waondoeMageuzi yanapokuja,huja na maumivu,kuwa mstahamilivu,zinakuja basi zingine 200
Tena sio dogoSUMATRA ni tatizo.
Tena sio dogo
Wanatakaaa mhameee hukooo njoooni bunju tegeta Mbagalaa... Sasahivi hadiwa Mbagalaa wamesikia Mwendokasi wanatafuta rums Kimara lohKinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!