Mwendokasi imetuletea Taabu Ya Usafiri

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!
 
Yaani juzi nilipanda mwendo kasi asee yale ni mateso sasa. Kwanza tuligombania kuingia kama dala dala tuu, halafu watu wana jaa sana.
Halafu inaonekana wana yazungusha mabasi machache may be wana taka ku save mafuta.
Ila nadhani badala ya kupunguza adha ya usafiri wameiongeza
 
Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!
Mageuzi yanapokuja,huja na maumivu,kuwa mstahamilivu,zinakuja basi zingine 200
 
Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!
wameturudisha miaka 30 nyuma.inafanana na miaka ya themanini,enzi zile tukiwa watoto tunasikia Orchestra Toma Toma wakipiga wimbo wa "Nachelewa stand ya bus bwana" kuashiria mume anayegombana na mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani toka kazini.Wakati ule jijini Dar hakukuwa na foleni za magari bali foleni kwenye vituo vya mabasi ili kuwania usafiri.Tulishatoka huko sasa ni rasmi tumerudi huko.
 
Kwa kweli imekuwa kerooo mnakaa kituoni hata 50mnts likija bus abiria kibao kila MTU ana haraka ,mnajazana mpk huruma yaani kupata hata tb ni rahisi
Awali walitangazaga muda wa kufunga kazi ni SAA sita ucku lkn kiukwel SAA moja wanaenda paki gar na watu wanahitaji usafiri......sijaona bado mana ya kuweka mwendokasi na kuondoa gar binafsi
 
Jana Itv kipimajoto walikuwepo hawa jamaa....nilishangaa sana maelezo yao kuhusu haya mabasi....yaan blahblah mpaka basi.
Nadhan hicho kipindi kilikosewa kuwaitahao jamaa badala yake wangetakiwa kuwepo watumiaji wa usafiri huu na kutoa changamoto zilizopo
 
Leo nilipanda mwendo kasi pale Avalone mchana ya saa saba nikiwa na mpango nishuke fire and then nielekee kariakoo.. Matokeo yake kila likija bus limejaa balaa nikaona isiwe taabu nipande la kwenda kivukoni nigeuze nalo mziki ukawa dereva kafika ferry and kalipaki pembeni akashuka hapo tukabakia tumeduwaa muda ukazidi ikabidi tushuke wenyewe mlango Wa dereva mbele kushoto... Tukaingia bus lingine likaganda hapo kama hadi lika jaa jaa dereva akaingia sikustuka kama nalo dereva alishuka dah... Likaondoka nikafika jangwani nikashuka maana pale fire kulikuwa na nyomi... Nikapanda la gerezani limejaa hatari hewa ni shida kupumua pale fire napo likapakia for sure lilijaza kupiga Maelezo nilifika msimbazi sina hamu tena na mwendo kasi town to kariakoo nilitumia daki ka 45!!!!
 
Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!
Wanatakaaa mhameee hukooo njoooni bunju tegeta Mbagalaa... Sasahivi hadiwa Mbagalaa wamesikia Mwendokasi wanatafuta rums Kimara loh
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom