Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Kweli wabongo ni hatari na hatupendi vyetu, yaani hata mwaka bado tayari watu walishaanza kung'oa baadhi ya vifaa.
Mfano hivi vya kushikia na vingine tayari watu walishasepa navyo, sijui wanaenda kuviuza kama screpa?
Jamani tuwe wastarabu basi walau kwa kuthamini vyetu, mbona hatujifunzi kwa wengine.
Kumbuka wanasema 'itunze ikutunze'