Mwendelezo. Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Mwendelezo. Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Mkuu Invigilator ndo naona uzi wako sasa. Fuata ushauri wa Matola kwa swala la booking.

Aidha kwanini usimuombe sponsor wako an updated bank statement? Kama aliweza kukupa mara ya kwanza hawezi goma kukupa mpya, kinachohitajika ni kuonyesha mzunguko kwenye account sio pesa iliyokaa tu.

Kuna huyu jamaa anaongelea sana mambo ya kwenda nje youtube jaribu kupitia channel yake. Kila la kheri

Ahsante sana Mkuu, ngoja nifuate ushauri.
 
Back
Top Bottom