Mwema kung'atuka?

Mwema kung'atuka?

Dar es Salaam.
Inspector General of Police (IGP) Said Mwema, 60, will step down in December, we can authoritatively report.
Mr Mwema, who was expected to remain in office until after the 2015 General Election, has turned down the offer of a two-year contract, opting instead for just six months.

Impeccable police sources confided to The Citizen on Saturday that the IGP agreed to extend his stay to December despite a state request that he works another two years.

Mr Mwema, who was headhunted from Interpol seven years ago to lead the police force, was officially due for retirement last month but State House reportedly asked him to consider a long contract.

When he finally quits, the curtains will fall on an illustrious career spanning 30 years, during which Mr Mwema rose from a 22-year-old constable in 1976 to the apex of the police hierarchy.
 
Kila jambo na wakati wake. Leadership has to do with intellect, time and space
 
Nakubaliana kabisa. Hata rushwa barabani imeongezeka sana. polisi wanaomba rushwa wazi wazi. katika kipindi chake hili limeongezeka zaidi.

RUSHWA ni lazima iongezeka, Maana inaendana na kupanda kwa gharama za maisha HUKU CHAMA CHETU TAWALA KIKIPUNGUZA MAKALI NA KUITA TAKRIMA!!!!
 
ahmed-msangi.jpg

Hamed Msangi will be his successor kwa sababu anafanya vizuri kazi ya wakubwa mabepande !
 
Amepima upepo, dhoruba lililoko mbele asingesimama. Maamuzi magumu lakini ni maamuzi ya busara. Jeshi la police limejaa lawama na linazidi kuongeza lawama hivyo asingependa zimwangukie ale vibaya pension yake.
 
Dah kweli Mungi ni mkubwa, jambazi mwenyewe anakiri kuaacha kazi? Basi hapa lazima kutakuwa na kasoro tu kwani si kawaida kwa jambazi kuaacha kazi tu hivi hivi. Mi nahisi anajihofia maisha yake baada ya Iddi Azan kuhusishwa na uuzaji dona na ile skendo ya makontena ya dona kule Kunduchi kwani yanamuhusu moja kwa moja yeye. Huyu mtu alikuwa hafai kabisa.
 
walimwitaji zaidi kwenye amri ya Pinda "Ua Tuu" lkm Mwema kafanya maamuzi mema ya kustaafu!
 
Dar es Salaam.
Inspector General of Police (IGP) Said Mwema, 60, will step down in December, we can authoritatively report.
Mr Mwema, who was expected to remain in office until after the 2015 General Election, has turned down the offer of a two-year contract, opting instead for just six months.

Impeccable police sources confided to The Citizen on Saturday that the IGP agreed to extend his stay to December despite a state request that he works another two years.

Mr Mwema, who was headhunted from Interpol seven years ago to lead the police force, was officially due for retirement last month but State House reportedly asked him to consider a long contract.

When he finally quits, the curtains will fall on an illustrious career spanning 30 years, during which Mr Mwema rose from a 22-year-old constable in 1976 to the apex of the police hierarchy.

kwakweli ni bora huenda hali ikabadilika maana anakotupeleka huyu kamanda ni kuzimu. watu hawana imani tena na polisi.
 
Tatizo kubwa ni DHAIFU yupo yupo tu Jeshi la polisi limeoza kwa unyama mbali mbali ndani ya jeshi hilo, yeye yuko kimyaaa, nchi inazidi kupata sifa mbaya kwa biashara ya madawa ya kulevya, yeye yuko kimyaaaa pamoja na kudai anayo list ya majina ya wahusika katika biashara hiyo.

RUSHWA ni lazima iongezeka, Maana inaendana na kupanda kwa gharama za maisha HUKU CHAMA CHETU TAWALA KIKIPUNGUZA MAKALI NA KUITA TAKRIMA!!!!
 
Bora huyu kuliko mrithi wake.... Kamanda Advocate Nyombi... Nimtahadharishe tu Nyombi kuwa akiingia hapo aachane kupambana na CDM, apambane na wahalifu... Wapo wa kutosha tu kumkeep bize...
 
ICC sio mbali sana , wasaka madaraka wa CCM wanatamani jeshi liwe Green guard ....
 
Asante Mungu , katika kipindi chake ndiyo nimeona mikutano ya siasa inalipuka , tangu nizaliwe , haki ya mama !
 
Dar es Salaam.
Inspector General of Police (IGP) Said Mwema, 60, will step down in December, we can authoritatively report.
Mr Mwema, who was expected to remain in office until after the 2015 General Election, has turned down the offer of a two-year contract, opting instead for just six months.

Impeccable police sources confided to The Citizen on Saturday that the IGP agreed to extend his stay to December despite a state request that he works another two years.

Mr Mwema, who was headhunted from Interpol seven years ago to lead the police force, was officially due for retirement last month but State House reportedly asked him to consider a long contract.

When he finally quits, the curtains will fall on an illustrious career spanning 30 years, during which Mr Mwema rose from a 22-year-old constable in 1976 to the apex of the police hierarchy.

six months is too long!
 
Tatizo kubwa ni DHAIFU yupo yupo tu Jeshi la polisi limeoza kwa unyama mbali mbali ya jeshi hilo, yeye yuko kimyaaa, nchi inazidi kupata sifa mbaya kwa biashara ya madawa ya kulevya, yeye yuko kimyaaaa pamoja na kudai anayo list ya majina ya wahusika katika biashara hiyo.

Mbona duniani tumeona viongozi kadhaa wakiwajibishwa kwa utendaji mbovu?. Kisima cha amani kinabubujisha maji tu kila anayekuja anaishia kunywa maji na akijifanya kuingia zaidi anamezwa na maji na kufia humo. Kwa nini iwe hivi jamani?

Maji haya ni maji gani yalo ndimi mbili haya jamani? Hebu wafasiri wa Sociologia ingieni humu na mfunguke kuwaerevua na kuwadadavulia maskini tuliolala totoro huku kumekucha.
 
hiyo nafasi yake huenda akarithi KAMUANDA muuaji wa mwangosi
 
Bora huyu kuliko mrithi wake.... Kamanda Advocate Nyombi... Nimtahadharishe tu Nyombi kuwa akiingia hapo aachane kupambana na CDM, apambane na wahalifu... Wapo wa kutosha tu kumkeep bize...[/QUOTE
Mbona umestuka mapema nini?? Unamjua huyo Nyombi vizuri, ni aina ya Kamuhanda nini???
 
Damu za walio uawa na wasaidizi wako bila kuwa na hatia zi mikononi mwako, utakwenda kujieleza mbeke za Allah kwanini ulisimamia kukatisha mausha za waja wake,
Kiama cha milele kinakuhusu
 
Dar es Salaam.
Inspector General of Police (IGP) Said Mwema, 60, will step down in December, we can authoritatively report.
Mr Mwema, who was expected to remain in office until after the 2015 General Election, has turned down the offer of a two-year contract, opting instead for just six months.

Impeccable police sources confided to The Citizen on Saturday that the IGP agreed to extend his stay to December despite a state request that he works another two years.

Mr Mwema, who was headhunted from Interpol seven years ago to lead the police force, was officially due for retirement last month but State House reportedly asked him to consider a long contract.

When he finally quits, the curtains will fall on an illustrious career spanning 30 years, during which Mr Mwema rose from a 22-year-old constable in 1976 to the apex of the police hierarchy.
Hata mtu mweupe akindumbukia kwenye dimbwi la tope nyeusi atakua mweusi tu, kwa mtazamo wangu mimi tatizo si mtu tatizo ni system. sasa hivi mnaongelea ya mwema kana kwamba ya Mahita hamyakumbuki tena, na upepo wa mwema nao utapita tu...!!
 
Back
Top Bottom