AmenHahaha
We sema Amen yatosha!!
Nakushukuru Mungu kwa uhai nlonao, asante kwa kuzidi kunipa nafasi ya kuishi sio kwamba mimi ni mwema sana bali ni kwa neema tu! Naomba toba na rehema kwa ajili yangu,wazazi wangu, ndugu zangu, majirani zangu, rafiki zangu na Taifa kwa ujumla! Tusamehe na ututakase kwa damu ya mwanao Yesu Kristo inenayo mema. Ikanene mema katika katika maisha yetu ya kila siku! Asante Mungu kwa kuwa naamini utatenda, Amen!!!
Mungu anaesikia kiliocha waja wake wanaomlilia, na akupe hitaji la Moyo wako.Naomba Mungu leo aniepushe na roho ya magonjwa inaonimyima furaha na amani..
Amen..Mungu anaesikia kiliocha waja wake wanaomlilia, na akupe hitaji la Moyo wako.
Kama ameweza kwa wengine, anaweza kwako pia.
amen
du!!!Namuomba Mungu ampe Magufuli cheo cha malaika mkuu kama alivyoomba
ameenNaomba nipate hella nyingi kama za mzee wa IPTL rugemalira mungu nisaidie
upate,Namuomba mungu afya njemaa .menginee yatafataa
Amen.Nakushukuru Mungu kwa uhai nlonao, asante kwa kuzidi kunipa nafasi ya kuishi sio kwamba mimi ni mwema sana bali ni kwa neema tu! Naomba toba na rehema kwa ajili yangu,wazazi wangu, ndugu zangu, majirani zangu, rafiki zangu na Taifa kwa ujumla! Tusamehe na ututakase kwa damu ya mwanao Yesu Kristo inenayo mema. Ikanene mema katika katika maisha yetu ya kila siku! Asante Mungu kwa kuwa naamini utatenda, Amen!!!
amina.Namwomba Mungu awapige kofi wale wote wanaojifanya miungu watu kwa kutaka kuabudiwa
ubarikiwe mkuu.Nakushukuru Mungu kwa uhai nlonao, asante kwa kuzidi kunipa nafasi ya kuishi sio kwamba mimi ni mwema sana bali ni kwa neema tu! Naomba toba na rehema kwa ajili yangu,wazazi wangu, ndugu zangu, majirani zangu, rafiki zangu na Taifa kwa ujumla! Tusamehe na ututakase kwa damu ya mwanao Yesu Kristo inenayo mema. Ikanene mema katika katika maisha yetu ya kila siku! Asante Mungu kwa kuwa naamini utatenda, Amen!!!
amedhihirisha na kwa jinsi gani moyo wake umejazwa na yale mengi aliyonena hapo...inapendeza sana, nimependa sana.Jamani shem umeambiwa jambo moja tu ila umeandika walaka [emoji16]..
Ila sio mbaya Mungu abariki maombi yako. Amen
ameen.Upendo
ameenNikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wake na kuutafakari hekaluni mwake.
Mungu na akupe haja za Moyo wako mkuu, Isaya alilia kilio hiki, Mungu hakuvumilia maraika akatumwa akamtakasa kwa kaa la MotoNakupenda Mungu wangu, niokoe na kutoka kwenye uovu wangu
ameenHahaha
We sema Amen yatosha!!