AminaMungu na akupe haja za Moyo wako mkuu, Isaya alilia kilio hiki, Mungu hakuvumilia maraika akatumwa akamtakasa kwa kaa la Moto
kilio hicho ni cha wachache sana, maana wengi tumepofuka tusione hitaji la msamaha kwa uovu wetu.
AminaMungu na akupe haja za Moyo wako mkuu, Isaya alilia kilio hiki, Mungu hakuvumilia maraika akatumwa akamtakasa kwa kaa la Moto
kilio hicho ni cha wachache sana, maana wengi tumepofuka tusione hitaji la msamaha kwa uovu wetu.
ameenAsante Mungu.
Tunaomba ampende zaidi mtesi wetu,hali ni mbaya awe RIP tuNaungana na Mtunga zaburi...
"Jambo moja moja nimelitaka kwa bwana, nalo ndilo nitakalolitafuta, nikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa Bwana, na kuutafakari hekaruni mwake "
Zaburi 27:4
Amina.Mungu anipe kiu na njaa ya HAKI.
"Wapendeni adui zenu, Waombeeni wanaowaudhi" . Golden principleTunaomba ampende zaidi mtesi wetu,hali ni mbaya awe RIP tu
"Hekima na maarifa vyatoka kwa Mungu" nje ya hapo ni ubatili na kujilisha upepo.Namuomba Mungu anipe hekima....
ameen.Eee Mungu iponye nchi yetu na Sintofahamu zinazoendelea, uovu, ukatili na uonezi unazidi na kutishia kesho yetu. Mungu kawape busara viongozi wakanene na kutenda yaliyo mema. Amen.
ameen.Hii thread ni nzuri saaaana
ameen.
Kuna vita kubwa sana ambazo zilipiganwa huku walioupande wa Mungu kwa Maombi hawajachubuka hata ukucha.
Mfalme Yehoshaphati 2 nyakati 20:1-30.
Kuna nguvu katika maombi, ndio maana binafsi siamini nguvu za nyaraka.
Ninauakika wapo watu wa Mungu nchini wanaomba ili mazuri yatamalaki na maovu yakome. Na Mungu wa Mbinguni atatenda.