mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
- Thread starter
- #61
naungana na wewe mkuu.Eeeh Mungu naomba unisamehe dhambi zangu zote. Nijaze Hekima yako, niishi sawasawa na mapenzi yako hapa duniani hadi nitakapotwaliwa.
haitatufaidia kitu kama maisha ya ya mpito na taabu zake zote bado tufe bila tumaini la uzima.
Mungu nisaidie.