Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,155
Reaction score
137,166
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
 
AU labda ni kwakuwa wameambiwa siasa ni mpaka mwaka 2020???
 
Au labda kwa kuwa mengi walikuwa wakiyaibulia bungeni, tunashindwa kuyasikia kwakuwa bunge limepigwa pini??
 
Chadema inatakiwa wajue jambo moja kuwa
Ubovu wa CCM hauifanyi CHADEMA kuwa bora. Wanahitaji uongozi mpya na akili mpya za kuwavusha hasa mwaka 2020, mh Mbowe amekwisha kaa miaka 16 nadhan kafanya pa kutosha. Pia katibu mkuu Dr Mashinji sidhani kama ana fit pale kwenye ukatibu.
*tujitafakari, mabadiliko yanaanza na sisi
 
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
Makamanda hawatakuvumilia kwa usaliti.
 
Chadema inatakiwa wajue jambo moja kuwa
Ubovu wa CCM hauifanyi CHADEMA kuwa bora. Wanahitaji uongozi mpya na akili mpya za kuwavusha hasa mwaka 2020, mh Mbowe amekwisha kaa miaka 16 nadhan kafanya pa kutosha. Pia katibu mkuu Dr Mashinji sidhani kama ana fit pale kwenye ukatibu.
*tujitafakari, mabadiliko yanaanza na sisi
Huyo katibu mkuu naye yupo yupo tu. Hivi huwa hata anaongea?
 
Back
Top Bottom