Nchi huwa inashabikia vitu vya hovyo sana bila kuzingatia madhara kwa wananchi wake! Ingefanyika tathimini ya athari za mazingira na mwekezaji akashauriwa kutafuta njia mbadala au kuimarisha njia iliyopo kabla ya kuanza mradi kusingekuwa na kelele hizi!