mwehu na mechi

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,906
Mwehu alikuwa akitizama mechi live.mara shabiki mmoja akasema"goli la kwanza hiloo" ghafla likaingizwa kweli,shabiki mwengine nae akasema"lengine ilooo linaingia" mara likaingia kweli golini.mwehu kwa hasira akasema "jamani naomba aliwahi kuona hii mechi atoke"
 

Aaah! mwehuuuu............ umetisha... Am so famous...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…