Kachamba watu eti anaonewa wivu hajali chochote yeye kaingiza hela. Nikajiuliza hyo photo shoot gani kapauka ka kambale kwenye matope. Itakua kaiga hafu akajipiga na mchina simu huyu.
Zikiwa zimebaki siku chache ili star wa Bongo Movie Ant Ezekiel ajifungue,ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuonyesha mashabiki wake maendeleo ya ujauzito wake hadharani
Ujauzito huo ambao ulizua utata kuwa anaweza kuwa alipewa na mwanasiasa kijana na Waziri ktk serikali ya awamu ya nne,lakini baadae imethibitika kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa madancer wa Mwanamuziki Diamond.