Mwasisi wa CHASO, Deogratius Kisandu ajiunga na CCM

Mwasisi wa CHASO, Deogratius Kisandu ajiunga na CCM

Ritz unaishi nchi gani? sababu ya huyo jamaa kufukuzwa kadima ni kwa sababu alitangaza nia ya kugombea urais. kwa bahati mbaya wakati anatangaza hakujua kuwa amegusa maslahi ya sultan na kigango chake.
Kumbe aligusa maslahi ya Mfalme, teh teh teh
 
Kwa umalaya huu lazima atakufa na ukimwi wa kisiasa.
 
Duuh na hili nalo limehamia sisiem kweli hili chama ni damping site!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna wale akina dada wanaouza miili yao, sijui huwa tunawaitaje vile ila the same name can be applied kwa huyu jamaaa, sorry to say so
 
Huwezi kuanza safari ya kisiasa kwa ukigeugeu kama huu - Wananchi watakuamini vipi? - huu ugonjwa ni tishio unawakumba hasa vijana ingawa kwa sasa unasambaa kwa kazi hadi wazee wameathirika.
 
Huwezi kuanza safari ya kisiasa kwa ukigeugeu kama huu - Wananchi watakuamini vipi? - huu ugonjwa ni tishio unawakumba hasa vijana ingawa kwa sasa unasambaa kwa kazi hadi wazee wameathirika.
Anafanya tote hayo so kwa kupenda Ila sababu ya njaa. Njaa mbaya sana usiombe ikuvamie
 
Mwasisi wa CHASO ajiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana tarehe 27 Septemba 2014 kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola,lushoto mkoani Tanga.

Deogratius Kisandu ambaye wakati wake alipokuwa Chadema alikuja na hoja za kutaka urais jambo ambalo Dk.Slaa lilimpa tabu sana amejiunga na CCM akitokea NCCR Mageuzi ambapo alikuwa na nyadhifa mbali mbali.
attachment.php
huyu nae hana akili ccm wamempa hela
 
Back
Top Bottom