Mwasisi wa CHASO, Deogratius Kisandu ajiunga na CCM

Kama matarajio ya wengi yalivyo kuwa,yule mwalimu kanjanja wa mkoani tanga amejiunga rasmi na ccm na kupokelewa kwa heshima kubwa na nd.kinana huku akitangaza rasmi kugombea uraisi kupitia chama makini cha ccm.

Ombilangu kwa wana ccm wote nikuwa tumpokee kwa mikono miwili na tumpe ushirikiano jemedari na mwl.deo kasandu.

kwakweli sijui chadema waliwezaje kuishi nae, nawapa pongezi sana
 
Attachments

  • 10690126_783078321756202_3822230380204012120_n (1).jpg
    10690126_783078321756202_3822230380204012120_n (1).jpg
    37.4 KB · Views: 320
Mwasisi wa CHASO ajiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana tarehe 27 Septemba 2014 kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola,lushoto mkoani Tanga.

Deogratius Kisandu ambaye wakati wake alipokuwa Chadema alikuja na hoja za kutaka urais jambo ambalo Dk.Slaa lilimpa tabu sana amejiunga na CCM akitokea NCCR Mageuzi ambapo alikuwa na nyadhifa mbali mbali.
attachment.php

Safari njema kwake, lakini hujatueleza kilichomtoa NCCR Maguzi!
 
Huyu si alishatoka CHADEMA siku nyingi akaenda NCCR kwa mbwembwe za mikutano na waandishi wa habari?Huyu Deo ni chizi na anasaka tuvicent,manake huko NCCR alifukuzwa kwa uchonganishi.
Amewahi kusema NCCR imeshindwa kumhudumia baada ya kupata ajali akifanya kazi za chama. Tulionya humu alipotoka CDM tukawaambia NCCR wasidhani wamepata, kutua zigo kama hili ni nafuu kwa chama chochote makini. Jitu halina hadhi hata ya kuongoza kata eti linataka urais wa nchi!

Hivi limesoma chuo gani hadi kupachikwa uasisi wa CHASO?
 
uraisi wa nini au anataka kugombea na diamond urais wa wasafi ?
 
Hivi hawa "waalimu" wa kizazi kipya mbona ni full vituko? Tena wanapojiingiza kwenye siasa. Hebu oneni baadhi ya "walimu" kama hawa; Mwampamba , Ludovick na huyu Kisandu.
Lakini pamoja na vituko vyao vyote huwa wanaishia CCM kama ilivyo kwa vichaa wote kuwa wakizidiwa mwishowe wanaishi Mirembe hospital. Jee CCM ndio "hospitali" ya rufaa ya hawa " waalimu" wa ajabu?
 
Kama matarajio ya wengi yalivyo kuwa,yule mwalimu kanjanja wa mkoani tanga amejiunga rasmi na ccm na kupokelewa kwa heshima kubwa na nd.kinana huku akitangaza rasmi kugombea uraisi kupitia chama makini cha ccm.

Ombilangu kwa wana ccm wote nikuwa tumpokee kwa mikono miwili na tumpe ushirikiano jemedari na mwl.deo kasandu.

kwakweli sijui chadema waliwezaje kuishi nae, nawapa pongezi sana
Ni haki yake za kikatiba hakuna kosa alilofanya kama angeyasema hayo wakati yupo Chadema ingekuwa kesi ya uhani.
 
Hahahahahaaaaaa!!! Atatangaza kugombea urais! Kweli ccm kumekucha.
 
Hivi hawa "waalimu" wa kizazi kipya mbona ni full vituko? Tena wanapojiingiza kwenye siasa. Hebu oneni baadhi ya "walimu" kama hawa; Mwampamba , Ludovick na huyu Kisandu.
Lakini pamoja na vituko vyao vyote huwa wanaishia CCM kama ilivyo kwa vichaa wote kuwa wakizidiwa mwishowe wanaishi Mirembe hospital. Jee CCM ndio "hospitali" ya rufaa ya hawa " waalimu" wa ajabu?

ccm ndipo mahala sahihi kwao kwasababu ndiyo production yao
 
Mgombea wa Kinana na Nnape huyu ndio maana watazunguka naye kwenye mikutano ........semeni katoka NCCR Maana naona kila mtu anataka kusema huyu kutokea M4c
 
Ni nani huyu ?
au ndiyo yule aliyetangaza kusitaafu siasa na kujiunga na kazi ya uchungaji?

Yes yes ndio yeye, kustaafu siasa sasa kaenda kufanya umafia. Watu kama hawa ni hatari kwa jamii
 
Ccm ni mahala salama pa kujitangazia hovyohovyo kwamba unataka kugombea urais. Ndio maana hata mwigulu na kigwa nao wametia nia. Hapo bado kichaa mwingine shibuda
 
Hivi hawa "waalimu" wa kizazi kipya mbona ni full vituko? Tena wanapojiingiza kwenye siasa. Hebu oneni baadhi ya "walimu" kama hawa; Mwampamba , Ludovick na huyu Kisandu.
Lakini pamoja na vituko vyao vyote huwa wanaishia CCM kama ilivyo kwa vichaa wote kuwa wakizidiwa mwishowe wanaishi Mirembe hospital. Jee CCM ndio "hospitali" ya rufaa ya hawa " waalimu" wa ajabu?

Umemsahau Mohamed Mtoi nae ni mwalimu
 
Alianza safari yake ya kujiunga na CCM zamani sana. Karibu Kisandu ila unafiki unafiki huku CCM hatutaki.
 
Amewahi kusema NCCR imeshindwa kumhudumia baada ya kupata ajali akifanya kazi za chama. Tulionya humu alipotoka CDM tukawaambia NCCR wasidhani wamepata, kutua zigo kama hili ni nafuu kwa chama chochote makini. Jitu halina hadhi hata ya kuongoza kata eti linataka urais wa nchi!

Hivi limesoma chuo gani hadi kupachikwa uasisi wa CHASO?

amesomea digrii ya elimu maalumu, SEKUKO...
 
Back
Top Bottom