Ritz unaishi nchi gani? sababu ya huyo jamaa kufukuzwa kadima ni kwa sababu alitangaza nia ya kugombea urais. kwa bahati mbaya wakati anatangaza hakujua kuwa amegusa maslahi ya sultan na kigango chake.Ni haki yake za kikatiba hakuna kosa alilofanya kama angeyasema hayo wakati yupo Chadema ingekuwa kesi ya uhani.