Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA

nakushukuru kwa hayo matusi na hayo pia ni maendeleo

Next time sio unakurupukia Vitu usivyovielewa even though ndo One of the very Traits za CCM
 

Pamoja na kwamba umetoka nje ya maada husika lakini naomba nikubaliane na wewe hayo uliosema, sasa haya ulioandika pamoja na hayo alioleta mleta uzi pamoja na mengine mengi bila kujali mwasisi awe Zitto Kabwe, Tundu Lisu, au yeyote, tukubaliane kitu kimoja, nchi imeuzwa tusaidiane kuiokoa, piga chini ccm na pandisha juu CDM, au sio?
 
Mkuu Bramo

Hivi ni kweli kuwa simu yoyote ya kiganjani iki-"detect" "the best signal" ina-"auto-trigger" au ina "auto-switch-to-roaming" ? Kwa ufahamu wangu ni kwamba lazima "i-prompt"/pop-up window" ya kukutaka wewe mwenye simu kukubali au kukataa hiyo "service"...!
 
Last edited by a moderator:

Amina sana Mkuu kwa kuleta ushahidi wa Live live, Ubarikiwe Sana.
TCRA wako Kimyaa, wao Wanaa Komalia Kuzima Analojia, Ooh Mara Kuingila Mawasiliano ya Mtu.
Waa Adress hii issue tuwaone kuwa wanafanya Kazi
 

Mkuu , Baba_Enock , Heshima Kwako
Roaming ni agreement Kati ya Different Operators, e,g Etisalat UEA na Tigo.
Ni kama Handover Flan hivi lakini inakuwa ina involve two different Operators, Hakuna ku Promptiwa na Simu wala nini.
Simu iki detect Best signal, inatuma Request kwenye Core Network Kuwa hapa Kuna Signal Bora zaid ya Hii.
Kama Roaming agreement iko OK, unatupiwa kwenye Foregn Network Automaticaly Mkuu
Nafikiri utakuwa umenipata Vyema
Ila unaweza ku attach kwa Manually option
 

Mkuu nimekupata...

"Roaming" ni huduma ambayo mteja wa mtandao fulani anatakiwa "ajiunge" nayo in some ways - either kwa activate mwenyewe "as you go/on-demand" au and kupitia kwa "huduma ya wateja" pale anapofanya "activation" ya simu-card (right?)

Kama ulivyosema hapo pia - na nukuu "...Kama Roaming agreement iko OK..." - Hii inamaanisha kuwa in some ways hii issue inaweza kuwa resolve - if need be - na Mobile Operators walioko ndani ya Tanzania bila hata kuhusisha TCRA (right?)
 
Mkuu nimekupata...

"Roaming" ni huduma ambayo mteja wa mtandao fulani anatakiwa "ajiunge" nayo in some ways - either kwa activate mwenyewe "as you go/on-demand" au and kupitia kwa "huduma ya wateja" pale anapofanya "activation" ya simu-card (right?)
Vema Mkuu

Kama ulivyosema hapo pia - na nukuu "...Kama Roaming agreement iko OK..." - Hii inamaanisha kuwa in some ways hii issue inaweza kuwa resolve - if need be - na Mobile Operators walioko ndani ya Tanzania bila hata kuhusisha TCRA (right?)

Ni Kweli Kabisa, ila inategemea Profile ya Mteja (SIM card) iko na Status gani kwenye HLR (Samahani kama nazidi Kukupoteza)
Kama iko on, Uta Roam tu utake usitake,nina uhakika kwa wale wanaolalamika, Profile zao ni Roamer = YES, kama iko off, kamwe hautaweza Ku Roam, hata kama uko Mbele ya Antenna.

Swali Jingine kwa TCRA...
Huyu Mwarabu ana Transimit kwenye Frequency gani??? na nani Kampa???na nani ana m Regulate???
UAE Communications Regulatory Authority ama????
Kama ni kweli, hii si ni sawa Mtu anakuja Ku Mregulate Mke wake Ndani ya Chumba Chako???
 
Kwanza nashukuru kwa elimu hii ya Kisayansi,pili kwa ufafanuzi kidogo wa mambo ya Kitalaam pia,endelea hivi hivi nasi tunaelimisha wengne


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu, Nakushukuru sana kwa Kunielewa.
Swali, ni Je, Huyo Mwarabu, Frequency alipewa na nani??katoka nzao huko Kwao???

najaribu kuelewa kidogo hii scenario...tuchukulie mfano mtu anatoka TZ anaenda UAE na sim yake ya either tigo/airtel au voda...akifika kule anafanya roaming...wanaita outroaming..ikiwa na maana akiwa UAE akiwasha simu itapokelewa na ile BTS ambayo iko kule halafu kama kuna roaming agreement kati ya nchi then information ya ile sim inapelekwa kwenye home GMSC(gateway MSC) na HLR ya home wakitumia BTS ya UAE kule kule,ikiwa na maana kama mtu akiwa loliondo na akawa anafanya calls/data GGSN kama yuko UAE basi hilo kampuni limevunja roaming agreement kati ya airtel/tigo au vodacom...yani mtu akitaka data akiwa loliondo na chip ya airtel basi anapitia GGSN badala ya SGSN ya hapa hapa bongo..kuelekea 2015 tutaona mengi.
 
kwani TCRA ni mdudu gani? naona huyo mdudu hayuko active nahisi ana hali ya kufa kufa hivi. angalia, hata haya makampuni ya ving'amuzi yanafanya hadaa lakini hicho kidudu kimelalia mgongo miguu juu. TCRA ilitamka kuwa local channels zitarushwa bure regardless mtumiaji wa luninga kalipia au la lakini baadhi ya makampuni hayarushi hizo local channels kama hujalipia monthly charges. mfano hawa ZUKU.
 

Wewe wa wapi!? Nahisi sio mtanzania wewe
 
Kuanzia kwa Waziri wa
maliasili na utalii-Abubakari Mgumia hadi kwa Kagasheki mambo mbofumbofu
na huyu mwarabu ila mwisho umefika.

Ki ukweli watajwa wamejikuta katika sehemu isiyo sahihi na katika nyakati zisizo sahihi(wrong place at the wrong time).Hii mambo hutokea magogoni toka enzi zile.
 

I concur with you, my take was to show how naive some of us are. The loliondo Arabs havent couse damage like many others. here there is no constructive critisism bali just fighting ccm for those who support cdm and vise versa. mbona kuna huyo marekani serengeti anafanya maajabu na wananchi wanateseka na hatuoni threads za maana hapa, but loliondo kwa sababu is an issue to crash the govt., Hat the devil but gove his dues. and if you look at reality just for a few weeks of the Arabs pleasure he has done a lot forthe maasais of the area, i do not mean to support him but what am projecting there are worst evils in the country. Any way thank you for your decent comment.
 
Kwani hayo mambo ya nssf lazime uyaseme huku?
Si uanzishe thread yako inayoelezea huo mradi wenu wa nssf??

Mimi sina mradi, bali nafuatilia sana mambo yanyofaa kutuletea maendeleo, kama vile umeme na ajira
 
Mleta mada heshima mbele.

Huo mtambo ni moja ya "rural telecomms stations" na huyo mwarabu atakuwa amenunua huo mtambo wa BTS na kuuweka hapo ulipo kwa kuwa inawezekana.

Pia atakuwa ama aliomba na kapewa ama kibali cha "network facility" au "network service" ambacho ni cha miaka 25 na kodi yake hulipwa kila mwaka pamoja na "royalty fee" ambayo kwa huyo mwarabu ni vijisenti tu kidogo.

Kwa kutegemea na mfumo au "structure" yake huo mtambo, unaweza kutumika maeneo ya vijijini, kwenye kamji kadogo au kwenye mji kamili.

Pia atakuwa anatafuta namna ya kupata subscribers walipo karibu nae ili afanya biashara kama ya kutoa huduma ya video au data.

Ila maswali yako ni ya msingi kwamba amepataje kibali cha kuweka mtambo huo mahali hapo.

Sasa kama kuna mobile operator ambae kwa namna moja au nyingine anashirikiana na mtambo huo, basi huo utakuwa ni wizi na dhuluma kwa kuwatoza wananchi shs 1000 bila wananchi kuwa na taarifa.

Ushauri kwa wamiliki wa mobile users ni kwamba inabidi wazime data roaming option pale wanapokuwa hawatumii huduma hiyo mpaka pale unapoihitaji hasa kwenye kupakua na kusoma emails na texts.

TCRA haipo kwa ajili ya wananchi wa kawaida ila kwa watu fulani wasio na nia njema kwa watanzania kwani huwezi kumtoza mtu pesa nyingi kwa ajili tu ya kupokea simu ilhali yupo hapohapo nchini mwake na anatumia mtandao tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…