Benjonathantz
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 237
- 52
Habari za Leo Wadau!!
Ni Imani yangu muwazima wa Afya.
Naomba kabla ya kuueleza mkasa huu.. Ngoja nikukumbushe msemo mmoja tulioambiwa tukiwa watoto wadogo. Msemo huo unasema "Usipokee kitu upewacho barabarani na mtu usiye mjua"
Naamini kwa namna yoyote ile wazazi/walezi wamekuwa na bidii kutuhimiza juu ya hili hasa kipindi tulipokuwa wadogo.
Trela imeishia hapo......
Action...
Mkanda unaanza hivyooo...
Tarehe 26 April 2014 Majira ya saa kumi kasoro jioni Nilikuwa maeneo ya Maweni-Tanga (Karibu na kiwanda cha siment) Nikiwa na subiria usafiri. Eneo hili halina makazi ya watu kitendo kilichopelekea mtaa huu kuwa mkimnya sana ukiacha kelele za magari.
Nikiwa nimesimama, Nikisubiria Usafiri wa gari kwa ajili ya kurejea wilayani lushoto (Kazini/Nyumbani) baada ya mapumziko ya Muungano (Sijui kuna muungano?) >Mghmm Tuyaaache hayo..
Ghafla daladala iliyokuwa ikitokea stand kuelekea pongwe ikasimama. Nikamshuhudia mwarabu mmoja akishuka kutoka dalalani.
Moja kwa moja alinifuata pale nilipokuwa nimesimama akaanza kuniuliza maswali kwa mfululizo wake.
Swali la kwanza aliniuliza kwa kingereza maana alionekana kutokufahamu kiswahili.
>Are you a student
Nikamjibu
>No,
Nalihisi aliuliza swali hili kwa sababu aliniona katika maeneo ya karibu na Kiwanda. Akahisi labda nimeenda kufanya research. Kumbe mwanaume ndo nimetoka out hivyo.
Akatamani kuzungumza na mimi (Nilihisi hivyo kulingana na muonekano wake.) Lakini maskini kingereza kilimwishia maana alianza kuniongelesha kiarabu. Mwanaume nikajikongoja "Asalam aleikum". (Chumvi)
Tukashindwa kuelewana ikabidi akae kimnya. Baada ya muda alitoa PK mbili moja alinipa na nyingine aliifungua na kuanza kutafuna.
Si kuwa na haraka, Niliendelea kuishika mkononi kwa Muda mrefu sana nikiwa najilaumu kwa nini niliipokea. Kwani anaweza akahisi jamaa lina shida kumbe mwanaume niko njema..
Baada ya muda kidogo Mwarabu alianza kuondoka kishingo upande hadi akapotea kwa mbali kwenye Barabara ya lami.
Nikiwa nimeshika PK jua likiendelea kuiunguza ardhi ghafla akaja mwarabu mwingine pale nilipo kuwa. nilishtuka kiasi flani kwa sababu alikuja na kunitazama kupitiliza bila kuniongelesha jambo lolote. Akiitazama PK ambayo nilijiapia moyoni kuto kuila.
Na yeye pia akaondoka zake. Kuelekea kule alikoenda yule wa kwanza.
Niliyowaza kichwani
"Nilihisi kulikuwa na connection ya kipepo kati ya mwarabu wa kwanza na wa pili naLengo lao lilikuwa ni kuhakikisha nakula PK ili wanichukue kirahisi."
Si kula PK na niliitupa, Kama huamini twende nikakuonyeshe.
"Si kila chakula ni chakula, kuna Vyakula si vyakula. KUWA MACHO."