Mwanzoni nilimuona wa kawaida

Mwanzoni nilimuona wa kawaida

Kijana naona ni wazi kabisa huwa mnajipa umuhimu kwenye maisha ya wanawake ambayo hata wao hawajui mna umuhimu gani zaidi ya kuwatumia kiuchumi then kuwatema mara tu wakipata option mpya.
 

Attachments

  • images_1709238452341.png
    images_1709238452341.png
    9.9 KB · Views: 8
Duuh hatari sana. Lakini wengine kufoka ni malezi tu sio kwamba anamanisha au anahasira
Anarusha mpaka mikono.... kunyoosha vidole ....kusonya daaah....mishipa usoni inamtoka.
 
Ni mtu mzima mwenzangu...amezalishwa watoto kadhaa na wanaume tofauti.....

Sasa huyu mwanamke huruma iliniingia baada ya kumuona mpweke....


Nikachukua jukumu la kumsitiri/na mimi ofcoz nikawa napasha kiaina...

Huku na kule akaanza kuonyesha tabia zake waziwazi....

Nikapata jibu kwa nini watu walikuwa wanamzalisha na kusepa......

Anyway mashine yake si mbaya...labda kwa sababu raia hawamrukii mara kwa mara...
Komaa mpaka ufe mkuu. Huenda ukaelewa kwanini wanaume wenzako walikimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom