bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 832
Mie nasumbuliwa na mgongona nyonga, unaweza nishauri nikae mkao gani mzuri zaidi ili nisipate distabu yoyote ya maumivu wakati nafanyaUwezekano upo lakini inahitaji practice kubwa sana na muda
Rakims
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app