Umuhimu wa meditation ni ufunguo wa kujitambua

Nov 2, 2023
60
50
Meditation ni neno lisilokuwa geni kwa watu wengi wafuatiliaji wa mambo tofauti mtandaoni. Pengine umeona watu wakifanya, kusikia likijadiliwa au hujawahi kulisikia kabisa ni mara yako ya kwanza, basi usijali utajifunza na utalielewa vizuri.

Kuna upotofu mkubwa wa uelewa kuhusu meditation, na una wafanya watu wengi washindwe kupata matokea na faida ya meditation. Uelewa potofu wa meditation kama zoezi la kimwili linalo kuhitaji ukae staili flani ufumbe macho ndio ufanye au kutaka kudhibiti uwepo wa mawazo ili utulize akili, kutaka kumiliki maarifa yake kama kumbukumbu hilo pia halito weza kuwa na faida kwako.

Meditation ni nini?

Meditation, ni kuweza kupandisha ufahamu wako na kuwa huru katika akili yako ambayo inafanya kazi kama ishara ndani yako na kuweza kutambua kuwa wewe si mwathirika wa akili yako kwa inachowaza. Na una hitajika kujielewa mwenyewe kwa umakini na utulivu wote, jinsi mwenendo wako wa kimawazo na hisia unavyo panda na kushuka bila kuwa na uamuzi wa kitendo wala kishawishi chochote cha matokeo zaidi. Kuweza kuwa na ufahamu wa akili kujielewa yenyewe umoja wake bila uwepo wa utumizi nguvu kwa kutaka kudhibiti chochote kwa kuwa tendo lolote lifanyikapo hapo itakuwa lina leta utenganifu wa akili.

Kutazama mwenendo wa mawazo bila kutaka kujaji wazo lolote kwa uzuri au ubaya wake kwa utambuzi wako. Hakutokuwa na kukubali, kukataa wala kupingana na wazo lolote kwa maana hakuna nafasi ya nafsi kujitetea wala kujilinda. Ni kuona kila kitu kama kilivyo mawazoni na kwenye hisia zako.

Ni rahisi sana kujidanganya ufanyapo meditation. Huwezi kuhitimu kufanya meditation kwakuwa ni kitendo kipya kila wakati kwa jinsi akili zetu zinavyo badilika na mawazo yake. Na si maarifa yakumiliki kama kumbukumbu yakakusaidia kiutendaji. Ni kitendo endelevu kisicho na mwisho.

Kwanini unahitajika kufanya meditation?

Muda mwingi akili zetu zinataka kuwasiliana na sisi kuhusu tulivyojijengea kuishi na kutaka kuweka mambo sawa kwa kukupa mawazo mengi iwezekanavyo kubalansi hali ya usalama na mategemeo yako yaelekee kwenye kuwa sawa.

Lakini kutokana na ujinga wetu wa kutoelewa kwanini ina kuwa hivyo akili zetu zimekuwa kwenye malumbano ya ndani kwa ndani ya yenyewe binafsi kwa kutaka kujinyamazisha yenyewe kimawazo kwakuwa hatujajua kwanini tunawaza bila kupumzika, na hili kufanya kusiwe na utulivu wa kuweza kufanyika jambo lenye maana na kuharibu afya ya akili zetu.

Kutokuwa na mawasiliano mazuri ndani ya akili kuna tukosesha ufanisi na tunaishia kuwa na akili isiyoweza kufanya jambo lenye maana. Ndio maana tuna hitaji meditation kuleta uelewa na usawa ndani ya akili zetu, kufanya mawasiliano ndani ya akili yawe ni nguzo ya kuondoa msuguano wa kimawazo kwa kuweza kuwa na ufahamu wetu binafsi jinsi tulivyo na ushawishi wetu wa ndani kimawazo chanzo chake ni kipi.

Kuweza kuona hisia zetu chimbuko lako na misingi yote ya tabia zetu inapoanzia na kwenda zaidi ya kikomo cha tunavyo vijua bila kuwa na kizuizi cha mawazo tena kwakuwa utakuwa huru nnje ya mawazo yako yote.

Kiini cha Meditation

Ukijiuliza ni wapi kiini cha meditation kilipo inapoleta mabadiliko ndani yetu?. Ni hivi, kufufua mawasiliano hai ndani ya akili zetu. Mifumo ya kumbukumbu za ulivyoishi (jinsi akili yako ilivyojiwekea ulivyo) na jinsi unavyopokea mazingira yalivyo sasa (wewe wa wakati uliopo) kuweza kuwa na mawasiliano madhubuti na kutokomeza utofauti wote. Upotofu wako wakujihisi utofauti kati ya wewe na mawazo yako uta kwisha. Haya mawasiliano yataweza kukupa ufahamu wa kutoweza kuwa na utofauti wa kupingana ndani ya akili yako tena.

Meditation inakufanya ufahamu uwajibikaji wako katika mawazo na hisia zako na kutokuwa mwathirika wa uzima wako wa maisha yanavyo kwenda nnje na ndani yako.

Angalizo. Akili yako inaweza ikatengeneza ufahamu feki kwa kuwa ufahamu halisia hau hitaji mwelekeo wala nguvu. Mwanzo waku elewa hili akili inaweza kujiona haina kitu jambo litalo ipa shida kwa kutozoea hilo na ikatengeneza ufahamu feki utaokuwa una uendesha kimawazo isivyotakiwa katika meditation kwa kuwa utakuwa bado uko kwenye kizuizi cha kuwa huru.

Meditation na Afya ya Akili

Afya ni uzima wa kitu kuwa katika hali yake ya inayo takiwa kuwa. Afya ya akili ni pale ambapo akili inafanya kazi yake katika uasili unao takiwa kuwa. Bila kuwa na mkanganyiko wala vizuizi vya kutaka usalama wa tusivyovijua wala msukumo wa tabia na matendo yote yatokanayo na kutojitambua uhalisia wetu.

Kinacho athiri akili kutofanya kazi yake ipasavyo ni akili yenyewe kutokuwa na ufahamu kuwa inajipiga yenyewe kwa kutaka usalama wake binafsi kwa jinsi tunavyo amini kutoka kwenye jamii zetu. Na ni jambo ambalo haliwezi kuwa na mwisho kama hujalitambua hilo. Uelewa na utambuzi utaoupata kwa kufanya meditation utaifanya akili iwe tulivu na huru kwenye mawazo yake, hakuto kuwa na mkanganyiko wowote wakimawazo uletao shida kwenye akili tena.

Meditation kuwa Maisha

Furaha ya maisha ni kuyaishi kwa kujitambua. Meditation ni maisha kwa ujumla, haina kuhitimu wala kuijua na kuimaliza. Na si matendo ya muda fulani tu, bali ni muda wowote mahali popote unaweza ukawa unazidi kujitazama na kujifunza zaidi jinsi unavyo ishi na mahusiano yako na mazingira yako yalivyo ndani yako. Maisha yako yote utayaishi kwa furaha na amani kwa kushirikiana na mazingira yako vizuri.

Hakuna muda maalumu utao kuhakikishia kuweza kupata ufahamu huu utao kuweka huru kimawazo na kujitambua. Ni jinsi utayari wako utulivu na umakini wa akili yako ndio utaamua hayo. Utambuzi wa uhusiano wako na ulimwengu ukisha upata utaepuka udanganyifu mwingi wa kukupotosha na kukuweka katika hofu na maisha yako halisi. Utaiona kweli na utakuwa huru maishani daima.

Nb: Ufahamu ndio macho ya akili zetu, akili zetu zina uwezo mkubwa sana lakini hazima macho ya ufahamu. Ufahamu wa kujitambua ukiwa mdogo tunakuwa waadhirika wa akili zetu na mawazo yake ila ufamu ukiwa na uelewa na akili basi tutakuwa wawajibikaji wa tunacho kiona.
 
It is a deception na pia meditation haina manufaa kwa kila mtu kama hujui siri yake achana nayo
 
Asante kwa Elimu nzuri. Ubarikiwe mkuu
 
Been reading Zen mind and practicing zazen.
Some be here now bs!!! I love it though...
I'll be going for Vipassana very soon.....

Whatever you do just sit and expect nothing....I prefer crosslegged posture....chin down....spine up straight...breathe in and out...

Don't wander your thoughts just focus on breathing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom