Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

ngoshas

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
707
192
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu

attachment ni mfano wa vitu vyenyewe
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    35 KB · Views: 2,001
  • image.jpg
    image.jpg
    58.4 KB · Views: 1,997
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu

attachment ni mfano wa vitu vyenyewe

Hongera Ngosha. Natamani ningekuwa risk taker kama wewe
 
Hongera sana mkuu, nina imani utakuwa tayari kuwapa wengine ma-ujanja kwa ajili ya maendeleo.Kila la kheri.
 
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu

attachment ni mfano wa vitu vyenyewe
Mkuu hongera bana, hapa umenigusa sana na haya matunda mawili ambayo ni viungo muhimu sana, Pili Pili na nyanya. Hivi karibuni nilikua nafanya utafiti wa bidhaa yangu mpya ya chili source na pengine nitakutafuta kwa mawazo mapya zaidi. Big up comrade.
 
Asante sn Mkuu, napatikana any time kwa mtandao, kukutana inaweza kuwa ngumu
 
Hongera sana Ngoshas. Nakutakia kila la kheri katika kazi zako.
 
Hongera Mkuu, natumaini utakuwa na mipango ya kuongeza hizo green house. Big Up!
 
Hongera sana mkuu. Kwenye green house ndo unapanda pilipili? Soko lako ni la kununulia shambani ama unapeleka.whole sale markiti?
 
yaani hujuwi ni kiasi gani umewapa moyo wengine, hapa naona kama nishauza zile gunia zangu za mpunga, nimepata faida na kununua mwingine, pia ile robo heka yangu nilonunua nshapanda nyanya zangu! pamoko sana mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom