Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

Duuh umeingia mitini?......anyway it was a good inspiration

Hapana mkuu, ckuingia mitini, nimekutupia picha hapo juu, km unaweza ufike pale visiga uone kinachofanyika, wakati huu mkuu co wa kutafuta cfa za kijinga, ni wakati wa kufanya kazi kupata faranga manake wanaotakiwa kuzitoa wanazikalia wenyewe
 
Kwa kuwa umejitahidi kuthubutu, nakupa maswali machache uyajibu. Majibu yake yanaweza kusaidia kupata wajasiliamali wengine kama wewe kwenye forum. Na hapo utaweza kuonekanan umefaulu zaidi.
1. Gharama ya green houce moja ni kiasi gani, na kwa uzoefu wako msimu mmoja unachukua siku ngapi? Mavuna unapata kiasi gani kwa green house.
2. Unaonekana kyumia drip irrigation. Gharama za kuingiza drip irrigation in kiasi gani?
3. Tafadhalii baada ya hapo piga gharama za uzalishaji ili uone profit, return on capital kama vipo poa

Gharama za mradi mzima ni milioni sita na laki tatu, wanatoa banda kamili kwa maana linakuwa na drip pipes, tanki la maji lita alfu moja, gharama hizo ni za ukubwa wa mita 30*8 kwa hesabu za futi moja kila mche ni miche 1200 ya nyanya
 
Hongera sana mkuu Mungu akupe nguvu uzidi kufanikiwa it's good to try
Naomba kuuliza hiyo green house ni toka Balton? Vp mbegu ni aina gani? Naona inazaa vizuri sana
Vp kuhusu soko la Pilipili?
 
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu

attachment ni mfano wa vitu vyenyewe

Wanajamii, Ngoshas amekuwa mkweli wala hajadanganya kabisa kaandika wazi kuwa hizo picha ni mfano tu wa vitu vyenyewe, si picha halisi za shambani kwake. Picha hizo zimepigwa kwenye Banda la JKT nane nane Morogoro! Ndiyo green house yangu ya kwanza ya mboga mboga kuiona Tanzania ikiwa imepandwa nyanya aina ya ANNA F1.
 
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu

attachment ni mfano wa vitu vyenyewe

Ngosha...you are officially my idol!
 
Gharama za mradi mzima ni milioni sita na laki tatu, wanatoa banda kamili kwa maana linakuwa na drip pipes, tanki la maji lita alfu moja, gharama hizo ni za ukubwa wa mita 30*8 kwa hesabu za futi moja kila mche ni miche 1200 ya nyanya
Red na blue zimenikanganya mkuu.. funguka kidogo...
 
Hongera sana mkuu Mungu akupe nguvu uzidi kufanikiwa it's good to try
Naomba kuuliza hiyo green house ni toka Balton? Vp mbegu ni aina gani? Naona inazaa vizuri sana
Vp kuhusu soko la Pilipili?

Asante mkuu, nop, ni ya Arusha, infact Arusha ni ofisi, makao makuu EA ni Nairobi, ofisi ni ya Israel. Anna F one ni mbegu nzuri, inazaa sana ni hybrid ya Kenya. Pilipili naomba we mwenyewe uwe shaidi, kuanzia supu asubuhi hadi sinner usiku unaikuta mezani, supply ni ndogo ndo maana kifungu kidogo chauzwa bei kubwa. Nyingi haitoki maeneo ya karibu na dar, utaweza kuona jinsi unavyoweza kuuza km utaweza kulima karibu na dar kwamkuwamgharama za usafiri zitakuwa ndogo
 
KWANZA HONGERA MKULU KWA KUTHUBUTU NA PIA KULETA ISHU APA ILI ATA WALE WALIKUWA WANASITASITA SASA WAANZE MARA MOJA, na wengine tunaoendelea virearchi bubu tuelimike zaidi.
This thing is possible hususan ukipata ile mbegu ya nyanya ambayo inazaa daima (miezi zaidi ya sita).
katika robo eka unavuna kilo zaida ya elf25 kwa semi intensive technology kama ya uyu bwana au had kilo elfu60 kwa intensive technology ya kiyahudi (ipo kenya kwa amrani) google utaipata au Kenya agricultura department.
Kiukweli nafanya utafiti lakini kwa mahesabu ya haraka haraka inaonyesha inalipa.
kwa mfano
uko na shamba, karibu na mto au umechimba kisima.
na alafu umenunua iyo nylon toka kwa wenye mashamba ya maua ambayo ni used (kwa kawaida itatumika tena miaka kama mitatu ivi).
mbegu aina ya anna inapatikana kenya kimfuko cha eka 2 ni sh elf 70 ya tz.
inapandwa miche kama alfu ivi.
inazaa kilo 25-30 kila mche.
uuzaji wa jumla kilo sh 600 x 25,000 x miaka mitatu = 45,000,000 gharama kubwa ni kuanza baada ya hapo kuna gharama ndogo ndogo na inabidi kila siku ujue maendelea ya nyanya kama daktari anavoangalia mgonjwa.
kama huna shamba ingia ubia na wenye mashamba karibu na mji.
kule kenya iyo green house kit inagharimu kama mil4.5 kwa pesa ya tz plus elimu na inputs zingine kama mbolea na irrigation kiti ambayo ni ya gravity.
kama utapanga mambo yako vizuri benki ya equity nasikia wanatoa mkopo kwa sababu wanajua inalipa.
Mkuu unaongere anna ipi?

Kama ni ile ANNA F1 basi hesabu zako ziko wrong sana.......

Nikweli pakti 1 inauzwa elfu sabini.
Lakini pakti 1 haiwezi panda heka 2.

Heka 1 ya ANNA inachukua miche elfu 9,000-12,000.Na kila pakti1 ina uwezo wa kutoa miche 1,000.

Kwahiyo ukipigia kwa miche 9,000 unapa pakti9x70,000xheka2=1,260,000 hizi ni gharama ya mbegu tuu tena sijaweza shipping charge ya mbegu from kenya seed suppliers!
 
mkuu unaongere anna ipi?

Kama ni ile anna f1 basi hesabu zako ziko wrong sana.......

Nikweli pakti 1 inauzwa elfu sabini.
Lakini pakti 1 haiwezi panda heka 2.

Heka 1 ya anna inachukua miche elfu 9,000-12,000.na kila pakti1 ina uwezo wa kutoa miche 1,000.

Kwahiyo ukipigia kwa miche 9,000 unapa pakti9x70,000xheka2=1,260,000 hizi ni gharama ya mbegu tuu tena sijaweza shipping charge ya mbegu from kenya seed suppliers!

owk CHAI CHUNGU
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu. Nimehitaji kufanya kilimo cha namna hii maana kwa utafiti wangu mdogo nimeona kinadharia kuwa kila mmea wa nyanya unaweza kuzaa hadi kilo 25. vipi ni sahihi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom