Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ngoshas, Oct 25, 2012.

 1. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha zitegemee mvua, pilipili maji lita kwa wiki yanatosha, Mungu kasaidia mwaka huu nimefanikiwa kujenga greenhouse, nashukuru Mungu malengo yangu yameanza kutimia. Starehe napenda lkn nilijitahidi kuzizuia zisiingilie mipango yangu

  attachment ni mfano wa vitu vyenyewe
   

  Attached Files:

 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hongera Ngosha. Natamani ningekuwa risk taker kama wewe
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hongera sana mkuu, nina imani utakuwa tayari kuwapa wengine ma-ujanja kwa ajili ya maendeleo.Kila la kheri.
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu hongera bana, hapa umenigusa sana na haya matunda mawili ambayo ni viungo muhimu sana, Pili Pili na nyanya. Hivi karibuni nilikua nafanya utafiti wa bidhaa yangu mpya ya chili source na pengine nitakutafuta kwa mawazo mapya zaidi. Big up comrade.
   
 5. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jitahidi kama jina lako la mwanzo lilivyo, utaweza
   
 6. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bila shaka, wanipate kwa cloveinnmwanza@gmail.com
   
 7. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante sn Mkuu, napatikana any time kwa mtandao, kukutana inaweza kuwa ngumu
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hongera sana.
   
 9. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hongera, ila hapo kwenye reD?! wHy?
   
 10. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sound good. Wajasiriamali siku zote ni risk taker.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  Hongera sana mkuu..........
   
 12. K

  KVM JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hongera sana Ngoshas. Nakutakia kila la kheri katika kazi zako.
   
 13. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hongera Mkuu, natumaini utakuwa na mipango ya kuongeza hizo green house. Big Up!
   
 14. v

  volunteer1 Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana mkuu, mimi nina shamba mlandizi, je hizi picha ni uoto wa Arusha au mlandizi?
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mkuu. Kwenye green house ndo unapanda pilipili? Soko lako ni la kununulia shambani ama unapeleka.whole sale markiti?
   
 16. T

  Tuliwonda Senior Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yaani hujuwi ni kiasi gani umewapa moyo wengine, hapa naona kama nishauza zile gunia zangu za mpunga, nimepata faida na kununua mwingine, pia ile robo heka yangu nilonunua nshapanda nyanya zangu! pamoko sana mkuu!
   
 17. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mkuu Mgombezi ...

  ule mradi wako wa kilimo cha papai dodoma unaendeleaje?
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hizo green house nazizisikia tu, naomba info zaidi why greenhouse?
   
 19. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli Hongera.
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lakini umetisha mzee
   
Loading...