Hapo Rocy City full burudani ni hela yako tu.Anza na Jembe ni Jembe pande za Malimbeee.Au kama vp nenda mitaa ya Kirumba kuna Villa Park Resort pana live band hapo na Night club,Pengine ni Gold Crest Club Bottom au Mwanza Hotel pana Club Fussion anza na hizo wengine waje wajaziliziee
Nimekusoma mkuu subiri nioge nisambae kuelekea huko, bila shaka warembo wapo wa kutosha villa park?