Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Hahaaaaaa hii comment imenikumbusha Jana nilikuwa nasoma makala ya Habib Hanga kuhusu "Corporate espionage".Villa inarudi sokon Cask inaungua, biashara hizi zinachangamoto. Pole kwake bwana Makanyaga
Hivi kwanza leo pakikuwa event gani, maana nilipita mchana nikakuta pamefungwa boombastic sound ya kufa mtu
Villa inarudi sokon Cask inaungua, biashara hizi zinachangamoto. Pole kwake bwana Makanyaga
Huyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
Umefikiri kama mimi hakika wewe ni the great thinker.Villa inarudi sokon Cask inaungua, biashara hizi zinachangamoto. Pole kwake bwana Makanyaga
Punguza majungu hayatakusaidia,eti muhuni wa kupitiliza.Tafuta pesa uache makasiriko kwa waliokuzidi kipato.
Makanyaga wanampa stress sana
Na wala hajawahi kuwa na rastaJoe hajawahi kua n club mwanza hotel
Alishawahi miaka ya 2008 rudi nyumaNa wala hajawahi kuwa na rasta
Fighter sana,kichwani yuko vizuriJamaa ni mwamba sana, ameshazoea kashkash
Mmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani
Mmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani, atimua mbio Watu watatu wakiwemo raia wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuingia nchini na kufanya kazi bila vibali. Raia hao waliingia nchini na kuanza kufanya kazi bila ya kuwa na...www.jamiiforums.com
Sasa hapo Ghand Hall wanapo Paki kwenda hapo Eneo la tukio,mbona pua na.mdomo tu?Maji Ziwa lipo jirani tu pia?Zimamoto wamekuja huku imeshateketea yote
Huwezi fananisha malaika na Cask mzee ...Inasemekana ni figisu za kibiashara kati yake na malaika beach jamaa anakula vichwa vya malaika vyote wakaamua kumfanyizia
Malaika no huwezi fananisha hotel I kubwa kama Malaika na hiyo bar. Malaika haiwezi kushindana na bar. Malaika yenyewe kuingia getini unalipa kiingilioInasemekana ni figisu za kibiashara kati yake na malaika beach jamaa anakula vichwa vya malaika vyote wakaamua kumfanyizia
Sasa hapo Ghand Hall wanapo Paki kwenda hapo Eneo la tukio,mbona pua na.mdomo tu?Maji Ziwa lipo jirani tu pia?
Naunga Mkono hoja ,JWTZ wamefanya operesheni ya kusambaza vitabu vya shule kuanzia awali mpaka Sekondari Nchi nzima kwa muda wa siku SABA tu ,majuzi hapa na wameweza..Nimeshangaa mno..Tuwape tu hata Nchi watuongoze.Jeshi la Zimamoto limekuwa mzigo mkubwa kwa Taifa nashauri Kamishana wa Zimamoto atoke/ateuliwe kutoka JWTZ.
Wewe ndio mgeni wa mji,joe alianza n kiwanda cha vitu vya plastic..kaka yke alifungua bar hapo jirani na bonasera..Wewe mgeni Mwanza. Tulia wenyeji wakujuze.
Huyo itakua kaja mwanza juzi kutokea ukaraNa wala hajawahi kuwa na rasta
Mwaka gani huo?Hiyo mwanza plastic ya juzi tu ,
Jamaa alianzaga na club pale mwanza hotel
Washamba hao mi namjua jamaa kitambo na alikuwa anaendesha club pale mwanza new hotel. wakati ikimilikiwa na gachuma.Alishawahi miaka ya 2008 rudi nyuma