Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

Kufanya nini kipya mpaka mseme mlikuwa mnamtaka kama yeye,huu usanii wa kusema tutaibadilisha sheria ya mikataba alafu inaletwa kwa hati ya dharura,wewe ndo unaona mzalendo,mzalendo angenunua ndege bila kufata utaratibu,anasaini mikataba ya Reli bila bunge kuijadili,inamaana hajui kuna bodi ya manunuzi,na inatakiwa tenda zitangazwe ili ushindani uwe wazi,,yeye nae kanunua tu huyo mzalendo,au kuwapiga stop watu wasihoji lolote ndio uzalendo,jamani kuweni na akili elimu elimu elimu
Elimu Elimu wap am sure elimu niliyonayo huna...Endeleen kuhamisha magoli lakini Ukweli mnaujua. ...JPM si Mungu au Malaika ana madhaifu yake kama wewe pia ulivyo na ya kwako acheni propaganda za ohho sjui ndege. ..sjui nyumba za Serikali na blah blah kwa Watanzania wazalendo na ambao hawakua wanufaika wa mfumo wa Rushwa wanaona mazuri ya JPM. ..Hizo bod za manunuzi unazolilia si ndio vchaka vya rushwa na wizi kalamu ya 200 znanunua 2000 mda wa kuongeza namba umepta hyo Reli unayolalamikia ilikua ijengwe kwa bei karbu mara mbili ya hyo na wachna yeye kashusha baada ya kuona kulkua na mazngra ya rushwa. ..wanufaika wa mirija kama hiyo ndio wengi wamegeuka wapinga kila jambo la JPM. . nyie endeleen kuhamisha magoli ndege imeshapaa
 
Naona anaendeleza kiki! 2020 sio mbali a asije akasema "ooh Mimi mwenzenu nilikuja kuangalia mpira pamoja nanyi"
 
Kwa mara yangu ya kwanza niliona bunduki zikiwa hadharani katika msafara wa Raisi wakati wa mazishi ya Marehemu Abeid Amani Karume.

Leo naona naona mtu aliyeshiba akiwa ametangulia mbele ya Rais na kidole kwenye trigger,nimeogopa!!!

Kama Taifa tupo katika hali ambayo si ya kawaida na viashiria hivi ni lazima vichunguzwe kwa makini. Kuna mahali tumekosea na kama hatutajisahihisha tutafika mahali ambapo hatukutegemea.

Ni kweli kabisa, na mimi nilipoangalia hizo picha cha kwanza kilichonijia akilini ni kulinganisha na miaka ya nyuma, enzi zile za Usalama wa Taifa madhubuti wa Mwalimu. Nothing rang any bells. Haya ni mapya hapa nchini, downright unprecedented by any stretch.

But let me tell you something. Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi. Huu ulinzi obviously wako unskilled and shambolic, mmoja hapo huwa ni bodyguard wa inner circle. Sasa leo katokea kashikilia sinia Rais achague karanga. Kazi ambayo huwa inafanywa na yule mwanajeshi. Bodyguard gani ana focus kwenye transaction ya karanga, kichwa chini mikono kwenye makarai ya karanga?
 
Ulinzi wa mitutu. Acha raia wajifunze aina za silaha bana,maana kila siku kuziona kwenye TV tu.
Kwa sasa huo ndio ulinzi unaotisha zaidi tangu tupate uhuru.
 
...ulinzi huo wa karibu na mabunduki unamlindaje rais na snipers walojificha kwenye hayo majumba pembeni?....yani wanaweka askari na mabunduki telee mbele ya rais wanaacha kuwaweka hao maaskari kwenye majumba yanayozunguka wanafikiri wanamlinda rais???..maajabu....waende Rwanda wakajifunze Kagame anavyolindwa kijanja....wanaleta show off kwenye ulinzi wa rais!...ajabu kabisa hii...
 
Anataka nayeye apige zake asepe,kama angekuwa anania kweli katiba,Katiba ndio tiba wa haya yoteee
Ana miaka miwili bado 8 kikatiba kwan haruhusiw kuibadlisha mwaka wa 4 au 5 aliyepta alichaguliwa lini na aliruhusu mchakato wa katiba kuanza baada ya mda gani..
Kuna watu hamuon zuri lolote la JPM...kubalianeni na hali zama zmebadilika pesa za bure hakuna... mtaani lazma mtu afanye kazi...fanyeni kazi...ata mimi nmekuja kumuelewa JPM baada ya kushka nchi kua ana nia njema na nchi hii naamin ujachelewa kumuelewa utamuelewa tu
 
Kwa mara yangu ya kwanza niliona bunduki zikiwa hadharani katika msafara wa Raisi wakati wa mazishi ya Marehemu Abeid Amani Karume.

Leo naona naona mtu aliyeshiba akiwa ametangulia mbele ya Rais na kidole kwenye trigger,nimeogopa!!!

Kama Taifa tupo katika hali ambayo si ya kawaida na viashiria hivi ni lazima vichunguzwe kwa makini. Kuna mahali tumekosea na kama hatutajisahihisha tutafika mahali ambapo hatukutegemea.
Unless hujui kuna makinikia
 
Semaa huyo muuza karanga angeombwa risiti alafu naskia kadai chenji alitoa jeloo *utan*
 
asee :) bas sawa ila hawa walinzi wanakuwa eneo la tukio masaa / siku ngapi kabla jamaa hajatuwa ?
 
Back
Top Bottom