Nimeona kaka. Nashukuru sijatokea huko. Maana na hizi bia ningekuwa navaa buti msikitini. Wangosha Mungu anawaonaUmeona eee
Hahahahaha mitambo ipi hiyo ya hali ya juu mkuu?WEE WEE WEE WEE WEE WEE WEE, Ogopa sana mkuu, hao jamaa wako makini hamna mfano kabisa.
Nakumbuka jamaa yangu mmoja ilikuwa ni songea wakati wa utawala wa rais kikwete yeye alikuwa anachungulia katika sehemu iko juu hivi wakati rais kikwete yupo anahutubia uwanjani sasa kumbe kuna mlinzi wa TISS alikuwa anafanya surveillance mbona huyo jamaa walimdaka uzuri alikuwa na kitambulisho cha uanafunzi kwa hiyo aliachiwa baadae.
Kwa hiyo ndugu usichukulie mzaha kabisa yaaani, hao jamaa nisummarize kwa kusema wako vizuri na makini sana mno. Pia kuna rafiki yangu amepigaga kozi za intelligence akiwa ananisimulia anasemaga kuwa jamaa hao jamaa wa ulinzi(bodyguards) huwa wanajipanga katika system ambayo ni very strategic yaani mfano kila mmoja anakuwa anadili na upande halafu na wanajuana walivyojiposition hawahitaji uniform pia hapo kwa kupitia mawasiliano ni kuwa yapo mawasiliano ya hali ya juu na eneo anapokuwapo mheshimiwa ni limezungukwa achilia mbali mitambo ya hali ya juu iliyokuwa positioned strategically maeneo yote nyeti.
Kwa mara yangu ya kwanza niliona bunduki zikiwa hadharani katika msafara wa Raisi wakati wa mazishi ya Marehemu Abeid Amani Karume.
Leo naona naona mtu aliyeshiba akiwa ametangulia mbele ya Rais na kidole kwenye trigger,nimeogopa!!!
Kama Taifa tupo katika hali ambayo si ya kawaida na viashiria hivi ni lazima vichunguzwe kwa makini. Kuna mahali tumekosea na kama hatutajisahihisha tutafika mahali ambapo hatukutegemea.
Hii mitoto inayodhani ughaibuni ni Zenji haina akili kabisa. Inafikiri Rais kuzungukwa na mitutu ya bunduki Ndo uimara wa kikosi cha ulinzi wa rais. Ama kweli tembea uone...Hahahahaha mitambo ipi hiyo ya hali ya juu mkuu?
Obama alipokuja Bongo.. Katua Dar ila KIA na Nairobi kuna ndege zingine zilikuwa stationed... Baharini huko kuna dude lao limebeba balaa zote..Satellites zao zinatazama Tanzania nk.......
Sasa sisi ni mitambo ipi hiyo tunayo naomba japo moja kwa jina
Umenivunja mbavu.
Hahahahaha babu kuna watu wana kipaji cha kuchekesha... Wacha tucheke siku zisogeeHii mitoto inayodhani ughaibuni ni Zenji haina akili kabisa. Inafikiri Rais kuzungukwa na mitutu ya bunduki Ndo uimara wa kikosi cha ulinzi wa rais. Ama kweli tembea uone...
Hahahahaha mitambo ipi hiyo ya hali ya juu mkuu?
Obama alipokuja Bongo.. Katua Dar ila KIA na Nairobi kuna ndege zingine zilikuwa stationed... Baharini huko kuna dude lao limebeba balaa zote..Satellites zao zinatazama Tanzania nk.......
Sasa sisi ni mitambo ipi hiyo tunayo naomba japo moja kwa jina
Umenivunja mbavu.
Askari wenye kombati no usalama wa taifa au jwtz??Akiwa na Ulinzi mkali na wa hali ya juu kabisa, leo jioni rais Magufuli aliamua kwenda kuangalia mpira wa Miguu uliokiwa unaendelea jinini mwanza.
Rais Magufuli akiwapungia mkono washabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United na Timu ya Nyamwaga katika uwanja wa Nyamagana leo.
Rais Magufuli akisalimiana na Wachezaji wa Buhongwa FC mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana kuangalia mpira.
Rais Rais Magufuli akiangalia mpira pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela katika uwanja wa Nyamagana.
Rais Magufuli akinunua karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la Mwanza.
Rais Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa jiji la Mwanza wakati akielekea Uwanja wa Nyamagana kuangalia mechi ya Buhongwa na Nyamwaga FC.
Mwanza
Dah vitu vingine hivi tumwachie Mungu tu kwa wale wanao amini uwepo wake... Halafu Maajabu mengine wanasema eti mbona Obama analindwa kwanini iwe tabu kwa wa kwetu? Tena akiwa nje ya nchi yake. Sasa unamfananisha mtu anayetembea na Nuclear Codes kwenye viganja vya mikono yake na wa kwetu ambaye hata kiwanda cha kuunganisha baiskeli hatuna?Hawajawahi kujiuliza siku zote JK alikuwa na wapambe kibao na yule mjeshi kwa nyuma. Lakini alivokuja Obama wote hawakuonekana. Nadhani ilikuwa siku pekee JK hakuzungukwa na walinzi wenye silaha za kivita wakiwa na mitutu mbele yao tayari kupush trigger....
Peleka unafiki huko.. Hao si ndio makirikiri walio vamia clouds na Makonda... Powered by Gwajima... HahaAskari wenye kombati no usalama wa taifa au jwtz?? Na kombati naona kama tofauti kidogo na nilizozoea kuziona!! Au macho yangu!!
.....Up yours!!!Peleka unafiki huko.. Hao si ndio makirikiri walio vamia clouds na Makonda... Powered by Gwajima... Haha
Teh jiwe limerushwa gizani naona vilio tu Hahaha .......Up yours!!!
Limegonga cartilage!Teh jiwe limerushwa gizani naona vilio tu Hahaha ..
Za wapi sasa? Bronchial tubes au intervertebral discs? Angalia zingine zipo kwa mfumo wa nyama utakuja shtuka zikigusa kongoshoLimegonga cartilage!
Za kwenye epiglottis!Za wapi sasa? Bronchial tubes au intervertebral discs? Angalia zingine zipo kwa mfumo wa nyama utakuja shtuka zikigusa kongosho
Sasa wewe si utakufa kama jiwe limegonga kwenye epiglottis hewa itapitaje kwenye larynx?Za kwenye epiglottis!
Very very good our hero President Magufuli wakati mwingine unatakiwa kupumzisha akili kwa kazi ngumu unayoifanya kujenga Tanzania mpyaAkiwa na Ulinzi mkali na wa hali ya juu kabisa, leo jioni rais Magufuli aliamua kwenda kuangalia mpira wa Miguu uliokiwa unaendelea jinini mwanza.
Rais Magufuli akiwapungia mkono washabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United na Timu ya Nyamwaga katika uwanja wa Nyamagana leo.
Rais Magufuli akisalimiana na Wachezaji wa Buhongwa FC mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana kuangalia mpira.
Rais Rais Magufuli akiangalia mpira pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela katika uwanja wa Nyamagana.
Rais Magufuli akinunua karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la Mwanza.
Rais Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa jiji la Mwanza wakati akielekea Uwanja wa Nyamagana kuangalia mechi ya Buhongwa na Nyamwaga FC.
Mwanza
Na mtapiga sana kelele jamaa atakaza na ulinzi utaimarishwa tu. Kama hamtaki mtakubali tu au mtahama nchi. Jamaa anakaba hadi kivuli.Kwa mara yangu ya kwanza niliona bunduki zikiwa hadharani katika msafara wa Raisi wakati wa mazishi ya Marehemu Abeid Amani Karume.