Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

Akiwa na Ulinzi mkali na wa hali ya juu kabisa, leo jioni rais Magufuli aliamua kwenda kuangalia mpira wa Miguu uliokiwa unaendelea jinini mwanza.

Rais Magufuli akiwapungia mkono washabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United na Timu ya Nyamwaga katika uwanja wa Nyamagana leo.
67db5e252f453f0ec67b980ec9637238.jpg
81ba8b8204293b10ed6d5f5205b826d6.jpg
59145e03c3fc7c11b40445a22ad9c22c.jpg

Rais Magufuli akisalimiana na Wachezaji wa Buhongwa FC mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana kuangalia mpira.
303b448d33b06cd5f51bb5767c66c347.jpg

Rais Rais Magufuli akiangalia mpira pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela katika uwanja wa Nyamagana.

Rais Magufuli akinunua karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la Mwanza.
753de3f0a1b1dc8223667823cc7ba781.jpg

eda5f4227dac65395ad63348072b698c.jpg

Rais Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa jiji la Mwanza wakati akielekea Uwanja wa Nyamagana kuangalia mechi ya Buhongwa na Nyamwaga FC.
Mwanza
Safi my president bora wameongeza ulinzi wake
 
Kazi gani ambayo ijawahi kufanywa na Rais yeyote,hiyo mikataba ya dharura au kazi gani yaani fisi,makinikia wanachekesha sana
KWA MWENDAWAZIMU KAMA WEWE HUWEZI KUELEWA MAGUFULI ANAFANYA NINI NDIYO MAANA WENYE AKILI TIMAMU WAMEIMARISHA ULINZI KWAKUWA WANAFAHAMU NINI KINACHOFANYIKA, KWAKO WEWE HATA UKIONA GARI LA WAGONJWA LINAKUJA KASI MBELE YAKO HUTALIPSHA KWA KUAMNI NI SISIMZI KWA AJILI HIYO HATA TUKIKESHA TUNAONGEA NA WEWE KAMWE HUTAELEWA MPAKA UNAPUMZIKA KWA AMANI, MARAS WENZAKE DUNAN KOTE WAMEKR MAGUFULI NI MTAMBO WA SHUGHULI NA MWINYI AKAFIKA MBALI ZAIDI KUTAKA KATIBA IBADILISHWE ILI MAGUFULI ATAWALE MUDA MREFU HALAFU WEWE MNYWA VIROBA UNACHONGOA DOMO LAKO KWA DHARAU INA MAANA UNAIJUA NCHI HII KULIKO MWINYI WEWE?????????
 
Sasa wewe umetumia akili gani hapo? Hivi unaelewa kweli ulichoandika au akili yako hapo ndiyo mwisho wake?
KWA MWENDAWAZIMU KAMA WEWE HUWEZI KUELEWA MAGUFULI ANAFANYA NINI NDIYO MAANA WENYE AKILI TIMAMU WAMEIMARISHA ULINZI KWAKUWA WANAFAHAMU NINI KINACHOFANYIKA, KWAKO WEWE HATA UKIONA GARI LA WAGONJWA LINAKUJA KASI MBELE YAKO HUTALIPSHA KWA KUAMNI NI SISIMZI KWA AJILI HIYO HATA TUKIKESHA TUNAONGEA NA WEWE KAMWE HUTAELEWA MPAKA UNAPUMZIKA KWA AMANI, MARAS WENZAKE DUNAN KOTE WAMEKR MAGUFULI NI MTAMBO WA SHUGHULI NA MWINYI AKAFIKA MBALI ZAIDI KUTAKA KATIBA IBADILISHWE ILI MAGUFULI ATAWALE MUDA MREFU HALAFU WEWE MNYWA VIROBA UNACHONGOA DOMO LAKO KWA DHARAU INA MAANA UNAIJUA NCHI HII KULIKO MWINYI WEWE????????? WVU UNAKUSUMBUA ALYEPEWA KAPEWA MPE HESHMA YAKE MWSHO UTAMUONEA WVU HATA MUNGU KWA KUMUUMBA MAGUFUL BNDAMU NDYO TULVYOUMBWA ROHO SKUUME KLA MTU NA KARAMA YAKE HATA WEWE UNA SIFA AMBAZO MAGUFULI HANA KWA MFANO KUDHARAU KILA ANACHOFANYA MWENZAKO KWAKUWA HUJAKIFANYA WEWE MAGUFULI HYO SIFA HANA HUONI NA WEWE NI KIDUME KWA HILO???
 
Kwa mara yangu ya kwanza niliona bunduki zikiwa hadharani katika msafara wa Raisi wakati wa mazishi ya Marehemu Abeid Amani Karume.

Leo naona naona mtu aliyeshiba akiwa ametangulia mbele ya Rais na kidole kwenye trigger,nimeogopa!!!

Kama Taifa tupo katika hali ambayo si ya kawaida na viashiria hivi ni lazima vichunguzwe kwa makini. Kuna mahali tumekosea na kama hatutajisahihisha tutafika mahali ambapo hatukutegemea.
Mpumbavu ndie huwaza ujinga kama wako sehem aliopo rais ni sehem hatari kwa usalama wake hasa ukizingatia kazi nzito anafanya. Hata kifaru alipaswa awe nacho
 
Huyu ni rais, haigizi kitu!
Maigizo haya hapa chini.
View attachment 534914

Na haya hapa.

y
View attachment 534915

Bado watanzania wakakata, ni maneno mawili tu, KA TA.
sukari kutok 1800_3500
uchumi was nchi upo ICU,bajeti imetekelezwa kwa 33%
wizara ya kilimo kati ya 101 billion wamepewa billion 3 tu
najua ufinyu wa akili yakk ndio tatizo,ccm inatumia mtaji wa ujinga wa watu kama wewe kutawala, IPO cku utapata akili
 
Pole kaka ila inabidi ujiandae tu kisaikolojia hii ngoma ni mpaka 2025 kwa Nchi yetu tulipokua tumefika tulikua tunaitaji Mzalendo kama JPM No way wanaoitakia mema nchi hii watanielewa. ..No deal tena mda wa deal ulishapita...huu ni Mwendo mdundo naiona Tanzania Mpya kama ilivyo Botwsana...GOD BLESS YOU JPM
uchumi wa nchi upo ICU
bajeti imetekelezwa kwa 33% tu,mathalani wizara ya kilimo kati ya billion 101 wamepewa billion 3 tu,ajira imeshindwa kutoa ajira za uhakika maana haina hela,mfumuko wa bei ususeme,hakuna cha maana
n wajinga pekee wataunga mkono ccm,kwa kipi tuiunge mkono? ccm waneifukisha nchi hii ktk umaskini huu dawa yao n kuondolewa madarakan
 
Kwa mara yangu ya kwanza niliona bunduki zikiwa hadharani katika msafara wa Raisi wakati wa mazishi ya Marehemu Abeid Amani Karume.

Leo naona naona mtu aliyeshiba akiwa ametangulia mbele ya Rais na kidole kwenye trigger,nimeogopa!!!

Kama Taifa tupo katika hali ambayo si ya kawaida na viashiria hivi ni lazima vichunguzwe kwa makini. Kuna mahali tumekosea na kama hatutajisahihisha tutafika mahali ambapo hatukutegemea.
Magufuli lazima awe na maadui wengi kuanzia ndani ya chama chake mpaka matajiri wasiokua wanasiasa, wapinzani na watu kibao wote lazima ni maadui wa Magufuli.
Magufuli amediriki kuyafanya magumu na yenye kuleta maumivu kwa matajiri na vigogo wa chama chake kwa mantiki hiyo Magufuli hayuko salama na anatakiwa kua na ulinzi usiokua wa kawaida.
Hata huo ulinzi naona bado hautoshi, Magufuli anasumbua matajiri wa Acacia na makampuni makubwa,wahindi etc.
Usitegemee Magufuli atakua rafiki wa watu wengi kama Kikwete.
Kiufupi Magufuli kawabana watu mpaka wanachukia japo mengi anayofanya ni kusimamia haki na usawa.
Kama kisu kimegusa mfupa pole mkuu.
 
Nimeangalia sana ulinzi huu, inaonyesha wazi ni dhaifu usio na mbinu ya kumlinda rais hata kama wanawaangalia washabiki.

Haiwezekani rais anazungukwa na kundi kubwa la walinzi kiasi kwamba hata wao wenyewe hawawezi kuona vizuri walio nje ya mita tano kutoka kwenye mzingo.

Ulinzi wa ajabu sana huu
Jf ukiwa kwenye keyboard utajiita afisa usalama ila kimsingi hata ukidakwa na mgambo anakufikisha kituo cha polisi na hutafurukuta wala kutia mkwara kama unavyojifanya mchambuzi wa mambo ya usalama hapa jf.
 
Okei, kwa nini msitumie hiyo fursa kuwahabarisha watz mchukue nchi 2020?? Mnalia lia nini??
si ndio tunatoa elimu hiyo kwa mazwazwa wa ccm wenye akili fupi kama wewe?
maana watu wa ccm n akili fuata upepo tu,ndio maana ule utafiti umesema ccm inaungwa mkono na vilaza
 
Hiki kichwa balaa! Chadema wanaadhimisha miaka 2 sasa bila kuandamana
kwahiyo ndio mahitaji ya watz?
mnaacha Ku deal kukuza uchumi mmeishia kufanya maigizo,uchumi upo icu ndio maana bajeti imetekelezwa kwa 33% tu,nyie mazwazwa ya ccm mtapata lini akili?
ule utafiti wa twawza kuwa ccm inaungwa mkono na vilaza hawakukosea
 
Kwa kasi hii CHADEMA lazima wachachawe.
Yaani rais kwenda kuangalia mpira ndo CHADEMA wachachawe? What do you mean?hilo c ni tukio la kwaida tu au unafikir rais sio binadam km wew? Acha mihemuko
 
Back
Top Bottom