Mkuu kwamba chadema imejaa ukanda hiyo ni nadharia kwasababu wanachama wengi ni upande ule ni sawa useme cuf ni Chama cha waislamu ilihali kuna wakrsto je ulishasikia hata sikumoja chadema wakisema jamani watu wa kilimanjaro hiki ni chama chenu msipigie vyama vingine au kwenye chadema hakina wafuasi mikoa mingine watajisikiaje wakisikia kauli kama hiyo au cuf iseme waislamu cuf ndo mkombozi wenu wale wakristo waliopo cuf watajisikiaje ?Akili yako siwez kuifanya ielewe chenye nimesema.ukimsema Mabula hukumbuki chama alichokua anapambana nacho kimejaa ukanda ndo sababu kubwa na si ubaguzi wa msukuma,
?yamkini umekutana na udhaifu wa mtu mmoja mmoja uliyo kwa watu.uliza vzr wasukuma wakoje toka enzi na enzi.ukiwa hupendi au unajisikia vibaya basi we pita hivi
Usukumani, ukabila uliopo ni katika kuongea Kisukuma lakini siyo ukabila wa kuwatenga watu, kuwaonea au kuwabagua.
Hata usipokuwa msukuma, ukifika vijijini kabisa, kama unakijua kisukuma, utaongea na kila mtu kama vile mlifahamiana toka utotoni. Utakaribishwa kila mahali, siyo kwa unafiki bali kutoka moyoni kabisa. Hata kama hujui kisukuma, ukiwapata wale wanaojua kiswahili, hata kama siyo kwa ufasaha, utadhihirisha ukarimu wao.
Mnachotakiwa kujua, Mwalimu kuna wakati alisema, viongozi madikteta hutafuta kwa nguvu kushikamana na makundi fulani iIi wale watu wahisi anawapenda, na wamtetee kunapokuwa na kelele dhidi yake. Atajishikamanisha na kabila fulani (mara nyingi kabila lenye watu wengi), Atajishikamanisha na dini fulani (mara nyingi dini yenye waaumini wengi), anaweza kujishikamanisha na kanda fulani (mara nyingi kanda yenye watu wengi).
Huu ni mtihani kwa wasukuma, ni mtihani kwa wakatoliki na ni mtihani kwa kanda ya ziwa.
Huyo wa Chato bwana, Mwanza yetu watuachie inaweza kujiendesha yenyewe...miaka yote chini ya 2006 ilisahaulika lakini ilikuwa inasonga mbele kwa watu kufanya kazi kwa bidii na kuleta mabadiliko ya kiuchumi...naona sasa hivi kuanzia 2015 wanataka kuufanya mkoa wa kisiasa kama DodomaMkulu kapeleka nguvu zote nyumbani huenda kimara tulikosa wasukuma tusingevunjiwa anabomoa nymba za watukusudi za nymbani kwao hataki zibomolewe anajua adha ya kubomolewa
Ukabila upo kila sehemu mbeya kigoma Mwanza kagera singida iringa Zanzibar tanga wilaya musomaMi naona kanda ya ziwa yote ukabila mtupu
Kwa hiyo next uchaguzi hamtaiba kura,
Kwa hizi kauli .wanaosema kuna siasa za upendeleo za ukanda awamu hii .watakuwa wamekosea kweli !!?? Etii ataa Mamlaka ya bandari juzi kati imegundua kati ya bandari 27 nchini bandari 23 zipo kanda ya ziwa .hivyo Tpa wameamua kufadhili miradi ya usambazaji maji kanda yote ya ziwa.kisa kwenye awamu hii imegundulika ndio eneo lenye bandari nyingi .hivyo Tpa inawajibika kutoa fadhila kwa wanajamii wa eneo husika la kanda ya ziwa kutokana na kuwa ndio kwenye bandari nyingi ,ukijumlisha hizi hatua zinazo chukuliwa na hizi kauli jibu ni juu yako tafakari chukua hatua .kabla maraa paapu atujakuwa kama Kenya na Rwanda zinako jaribu kutoka .ikatimia ile methali ya kutangulia sio kufikaWanasiasa wanaangalia nguvu ya wapiga kura iko wapi? Jiulize Mwanza walipoamua kwenda upinzani 2010 kanda ya ziwa kilitokea nini? Karibu mikoa yote ya kanda ya ziwa walifanya mabadiliko, Mwanza walipofuta upinzani 2015 mikoa mingine ya kanda ya ziwa kilitokea nn? kwa ufupi kanda ya ziwa ina nguvu sana ya kuamua nani awe rais wa JMT , politicians knows that na wanatumia mbinu zote kupata kuungwa mkono.
Mi naona kanda ya ziwa yote ukabila mtupu
Kwa hizi kauli .wanaosema kuna siasa za upendeleo za ukanda awamu hii .watakuwa wamekosea kweli !!?? Etii ataa Mamlaka ya bandari juzi kati imegundua kati ya bandari 27 nchini bandari 23 zipo kanda ya ziwa .hivyo Tpa wameamua kufadhili miradi ya usambazaji maji kanda yote ya ziwa.kisa kwenye awamu hii imegundulika ndio eneo lenye bandari nyingi .hivyo Tpa inawajibika kutoa fadhila kwa wanajamii wa eneo husika la kanda ya ziwa kutokana na kuwa ndio kwenye bandari nyingi ,ukijumlisha hizi hatua zinazo chukuliwa na hizi kauli jibu ni juu yako tafakari chukua hatua .kabla maraa paapu atujakuwa kama Kenya na Rwanda zinako jaribu kutoka .ikatimia ile methali ya kutangulia sio kufika
Kama wasukuma wangekuwa wana ukabila usingeona makabila mengine yakishamili kibiashara katika maeneo ya wasukuma.
Leo hii ukienda kwenye mikoa yenye wasukuma wengi utakuta wafanyabiashara wa kichaga wamejaa na biashara zao zinapata mafanikio makubwa kwa sababu wanunuzi ni wasukuma.
Wakina dada wengi wa makabila mengine wameolewa na wasukuma.
Kwa ujumla, wewe unaodhani wasukuma wana ukabila inawezekana ukawa ni mkabila namba moja.
Huwezi kujua kama fulanio ni chawi kama huna elimu ya kichawi!
Acheni kuwalazimisha wasukuma wawe wakabila na siku wakiwa wakabila itakuwa ni jadi kwa serikali kuongozwa na watu kutoka katika kabila la wasukuma. Kwenye siasa, namba zinahesabika!
chochezi wa kiwango cha makinikia huu mruma na ossoro watakagua mna nn ndani yake wacha niachie kamati ijadili kwanzaUmesahau na nyingine,malimbuken na wapenda sifa
Watu wanatamani sana wasukuma wawe wakabila ili wajusty upuuzi wao.
Bahati mbaya Usukumani hakuna ishu hizo, Kama unaongea jambo bila kuwa na uhakika Bora ukae kimya, ukitaka kuwajua Wasukuma vizuri tembelea mikoa yao nenda hadi vijijini halafu tembelea uchagani na uhayani kisha linganisha.
Wahaya ni wanafiki sanamie shule nlosoma a level kabila lililokua na ubaguzi walikua ni wahaya asee hawa jamaa walikua kivyao vyao na walitusaliti sana kila tulipopanga kufanya mgomo ili kishinikiza jambo fulani liwekwe sawa.
Wasukuma walisha acha ukabila kwa kiasi kikubwa sana sana kama ilivyo makabila mengi Tanzania.tatizo huyu alisukumiziwa awamu hii ndio nae anawasukumizia wasukuma kurudia ukabila .maana kama unavyojua kama ukifilisika siasa .huwa mwanasiasa uanza kujishika kwenye udini ikishindikana napo atadakia ukabila au ukanda .sembuse huyu msukumizwa hana siasa kabisa .hivyo kwanza kabisa akajishika na wanyonge imekataa ,ikaanza kujiribu kujishikisha kwenye dini mwaga pesa miskitini,makanisani.jenga ofisi ya misikiti.Usiseme mwanza Sema Usukumani, wasukuma wana ukabila sana.....naanza kuona harufu ya ukabila inamea TZ