CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
leo niko alone, nawaza jinsi ya kuja, sijui niwalete wote huku tuanzie boxing day huku.............?
Njoo huku kwanza then huku..... Mambo iko town bana lol!!!!!!!!
leo niko alone, nawaza jinsi ya kuja, sijui niwalete wote huku tuanzie boxing day huku.............?
Mobimba na moyi
mh... Umeniacha mu mataa ya s.h. Amon!!!
mhhh niliwamiss charminglady na Elizabeth Dominic , afu nasikia kuna dereva wa daladala la msuto Nicas Mtei anahonga faranga tu, angalia sana mwenye mji nimerudi, yasije kukupata yaliyo mpata Erickb52 kwa pupa zake
kvcc ,jrc ,winners,lutheran,tag,catholic we wapi?
nafanya michakato ya kutimba maana nimebanwa mahala, mamaa wa nguvu aka mamaa wa samsung galaxy s2 aka host wetu kishanipigia nimemwambia nafanya michakato nitimbe pande hizo
we mchokodhi wewe!
unanipa wasiwasi sana bibie Kipipi