Mwanza: Mwanafunzi wa kidato cha 5 ajinyonga hadi kufa

Mwanza: Mwanafunzi wa kidato cha 5 ajinyonga hadi kufa

Na experience the same, suicide thoughts are in my mind constantly, ila kwa uwezo wa Mungu ntayashinda
Daah,usiwaze hivyo mkuu jitahidi kujichanganya na watu usipende kukaa pekee yako
 
Msongo wa mawazo ni ugonjwa hatari sana,mwezi wa tano mwaka huu kule Iramba MZEE mmoja alijinyonga Kwa Bahati watoto wakawahi kukata kamba wakamwokoa,akatiwa ndani akashtakiwa kwenye utetezi akajitetea vizuri akafungwa kifungo cha nje mwaka mmoja,katumikia mwezi tu akajinyinga tena safari hii hakuokolewa akafariki yote Hiyo ni MAWAZO tu yamemzidi hadi MTU anaona hakuna suluhisho zaidi ya kujiua
Daah!!
 
Mim cjui nini kipo sengerema, 2010 wakati nimeenda kujiunga kidato cha tano tuliambiwa mwaka ulokuwa umepotelea mwanafunzi alikufa, 2010kuelekea 2011 mwalimu Akafa, 2011 oct mwanafunzi kidato cha 5 wa ukerewe akafa, 2013 mwingine fom6 amebakiza phy 2 naye katumbukia chooni, Kuna nini?????
 
Na experience the same, suicide thoughts are in my mind constantly, ila kwa uwezo wa Mungu ntayashinda
Ninachoshangaa watu wengi wanadhani ni mapenzi tu ndo yanasababisha suicide,
Hii imenitokea katika maisha ya shule wala sio matatizo ya hela au mapenzi.

Nashukuru nilikutana na ujumbe mzito kule qoura forum dakika za mwisho nikahairisha kitendo kile kibaya.
Haya mambo yapo!
 
Atakayevumilia mpa mwisho ndiye atakayeokoka
Mwingine uyo apo anadai kajiua kutokana na kukosa kodi ya nyumba.
FB_IMG_1539791505173.jpg
 
Chuo nimepata first round ila kweny first batch ya walio pata mkopo sipo na nyumbanii hali ngumu nimewaza snaaa kiasi cha kutaka kuruhusu ilo pepo linivamie ila nashukuru Mungu nimeweza kulishinda tuzidi kuombeana jamanii[emoji120]
Pole Sana mkuu...
 
Mkuu punguza strec mkop utapat second batch unawez pat chuo first selection ila mkop ukapat hata batch ya 3
 
Back
Top Bottom