Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Pole sana kipenzi changu...Mungu wetu ni mwema mnooo kuna wakati anayaruhusu hayo ili tuimarike,.zaidi sana kiroho na kiimani.Soma koment namba 55
Aisee alitaka aniye yule mwanamke
Nilimpenda sana looh
Ila nashukur mungu ...