Oh glory to God! Mungu aendelee kukutetea! Usiache kumtumaini!Nimepambana na depression miez mitano iliyopita
Ooh God thank you
Ni kitu kibaya sana
Oh glory to God! Mungu aendelee kukutetea! Usiache kumtumaini!Nimepambana na depression miez mitano iliyopita
Ooh God thank you
Ni kitu kibaya sana
Bwana Yesu akutetee! Pole sana! Kila mtu anapitia shida yake, shida unayoipata wewe siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho! Ishi maisha yako...wala usiyakatishe! Everything that happens, it happens for a good reason! Kwa hiyo chochote na lolote lile likitokea...ishi tu...Mungu atakufanyia njia tu. Hata kama siyo njia uliyokuwa umeitarajia!Nipo katika hiyo hali sasaa..! Namuomba sana Mungu niishinde
Nashukuru Sana mkuu...!! Sikudhani Kama naweza fikia hatua hii katika maisha yangu yote...Lakini Naomba sana mawazo haya yaishee...Bwana Yesu akutetee! Pole sana! Kila mtu anapitia shida yake, shida unayoipata wewe siyo wa kwanza na hautakuwa wa mwisho! Ishi maisha yako...wala usiyakatishe! Everything that happens, it happens for a good reason! Kwa hiyo chochote na lolote lile likitokea...ishi tu...Mungu atakufanyia njia tu. Hata kama siyo njia uliyokuwa umeitarajia!
Ahsante sana mkuu kwa kweli nimesikia faraja kubwa snaa Nashukuru snaaMwamini Mungu, pia jua kuwa hali ngumu unayoipitia na wengine wanaipitia. Kila jaribu huwa na mlango wa kutokea. When life gives you lemons, make lemonade! Unapendwa sana...usikatishe maisha yako tafadhali! Jesus loves you!
Bwana Yesu akutetee! Hata kama unapitia magumu yaaje bado asubuhi mpya itafika! Hata kama ni kufa, ufe tarehe uliyopangiwa na siyo kujipangia. Kuna miujiza mingi huenda Mungu amepanga kukutendea kwenye magumu unayopita. Tafadhali mpendwa...ishi...Mungu anakupenda! Kuna watu wanakupenda hata kama unahisi waliokuzunguka hawakupendi! NINAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA NYINGI!Nashukuru Sana mkuu...!! Sikudhani Kama naweza fikia hatua hii katika maisha yangu yote...Lakini Naomba sana mawazo haya yaishee...
Jumapili nataka niende kanisani Kumuona mchungaji mkuu...! I hope nitayashinda haya yoteeBwana Yesu akutetee! Hata kama unapitia magumu yaaje bado asubuhi mpya itafika! Hata kama ni kufa, ufe tarehe uliyopangiwa na siyo kujipangia. Kuna miujiza mingi huenda Mungu amepanga kukutendea kwenye magumu unayopita. Tafadhali mpendwa...ishi...Mungu anakupenda! Kuna watu wanakupenda hata kama unahisi waliokuzunguka hawakupendi! NINAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA NYINGI!
Karibu sana mkuu! Hata kama umezungukwa na watu wabaya, bado watu wema wapo! Endelea kuishi ili tukawatendee mema wengine...hata wakitulipa mabaya, MUNGU ATATURITHISHA MEMA!Ahsante sana mkuu kwa kweli nimesikia faraja kubwa snaa Nashukuru snaa
Safi sana! Mungu yupo pamoja na wewe!Jumapili nataka niende kanisani Kumuona mchungaji mkuu...! I hope nitayashinda haya yotee
Bora ugonjwa utakuua depression unaweza jiuaa unaona na ukaona ni sahihiiHakuna wa kumlaumu, ila depression, ni kitu kibaya sana, chanzo chaweza kuwa chochote including, mapenz, ugumu wa maisha, ugumu wa masomo, inferiority complex, nk
RIP young doctor to be, Huenda heaven au hell Kuna shule huko, ukajiendeleze mdogo wangi
Mapenzi ni chanzo kikuu cha vifo vya kujinyonga! Mungu atuepushie mbali na hiyo rohoJuzi huku kwetu tumepoteza mchaga,mapenzi yamezingua kajinywea zake maji ya betri kimyaa..
Mambo si mambo naona shetani mweusi kachachamaa kwelikweli,.
Yaani atuepushie kwakweli,.tunatamani tuishi tuyasimulie matendo yake makuu na ya ajabu!!!Mapenzi ni chanzo kikuu cha vifo vya kujinyonga! Mungu atuepushie mbali na hiyo roho
Nakupenda sanaYaani atuepushie kwakweli,.tunatamani tuishi tuyasimulie matendo yake makuu na ya ajabu!!!
Namm sitaki kukupoteza,.unajua hilo baba s,v...Nakupenda sana
Una nipa depression mkuu
Ahahaha
Soma koment namba 55Namm sitaki kukupoteza,.unajua hilo baba s,v...
😢😢😢Tafadhal
Usipende kukaa mwenyewe ...
Hadi sasa unapumua ...
God still have plans for you ...
Nlitaka kujiua ....
Nlikua nshachukua dawa nimeze niondoke
Ghafla sms ... Ikaingia kwenye simu yangu ...
Whatsapp ... Inaonyesha august 22 2021 ...
Kilichoandikwa siri yangu ...
Sitaki kujisifia ...
Sikutaka kuonyesha mm ni nan hapana
Changamoto ndo zinazofanya maisha yaendelee
Nisingepata hizi changamoto ...
Nisingekua neuro scientist hivi sasa
Nisingepata scholarship
They made me strong
Never ever give up ... Usijaribu hicho kitu .... ..
Angalia watoto wa somalia hapo chini je ni bora kuliko
Lets thank God for this opportunity he has given us despite the fact we are facing many hardshipView attachment 903566View attachment 903567
Mkuu depresion ya chaputa au?[emoji16][emoji16][emoji16]jokeNipo katika hiyo hali sasaa..! Namuomba sana Mungu niishinde
Dah[emoji22][emoji22][emoji22]