Mwanza: Mwanafunzi wa kidato cha 5 ajinyonga hadi kufa

Mwanza: Mwanafunzi wa kidato cha 5 ajinyonga hadi kufa

Chuo nimepata first round ila kweny first batch ya walio pata mkopo sipo na nyumbanii hali ngumu nimewaza snaaa kiasi cha kutaka kuruhusu ilo pepo linivamie ila nashukuru Mungu nimeweza kulishinda tuzidi kuombeana jamanii[emoji120]
Pole mkuu usiwaze..wanatoaga second batch.. Mimi binafsi wakati naanza chuo sikupata first batch nilikaa zaid ya mwez nyumbani wakatoa second batch na chuo nilienda though kwa kuchelewa...so don't give up
 
Back
Top Bottom