Mwanza: Mwanafunzi wa kidato cha 5 ajinyonga hadi kufa

Mwanza: Mwanafunzi wa kidato cha 5 ajinyonga hadi kufa

Msongo wa mawazo ni ugonjwa hatari sana,mwezi wa tano mwaka huu kule Iramba MZEE mmoja alijinyonga Kwa Bahati watoto wakawahi kukata kamba wakamwokoa,akatiwa ndani akashtakiwa kwenye utetezi akajitetea vizuri akafungwa kifungo cha nje mwaka mmoja,katumikia mwezi tu akajinyinga tena safari hii hakuokolewa akafariki yote Hiyo ni MAWAZO tu yamemzidi hadi MTU anaona hakuna suluhisho zaidi ya kujiua
huyu mzee nae sifa
Hapo ukute home wazazi wanamatatizo, demu wake anasema anamimba, pesa za matumizi hana, pepa ya physics kapata 14%, na mawazo mengi yanazonga akaamua kujipumzisha.
hahaaaa Phyz ya advance kama unamawazo hata hio 14% kupata labda uibie haki vile,
 
Hongera Boss kwa kuishinda wengine huwapata wanashindwa kujikontrol harafu pia kutokusema hata kwa rafiki zako wa karibu nalo ni tatizo kubwa
Inategemea na aina za marafiki pia, huenda aliomba ushauri badala ya kupata liwazo akapata majungu yaliyomfanya apotee zaidi.
 
Form l na Form ll nilisoma wa stress na depression kali sana. Niliyashinda majaribu ya kujimaliza ila niliambulia vidonda vya tumbo vya aina mbaya sana nilivyodumu navyo hadi leo ninapokaribia kustaafu, nikiishi maisha nusunusu. Mawazo ya muda mrefu huharibu furaha ya maisha
 
huyu mzee nae sifa

hahaaaa Phyz ya advance kama unamawazo hata hio 14% kupata labda uibie haki vile,
sio mchezo mkuu, ile form 5 mwanzoni unameza machanics unasolve maswali yote yanaenda, pepa ikija inaonekana ya kawaida ila siku ya matokeo bob 12%
 
Na experience the same, suicide thoughts are in my mind constantly, ila kwa uwezo wa Mungu ntayashinda
I've been thru that...I feel you....Mungu akusimamie ukitaka kuishinda fikiria ulikotoka mpk hapo ulipo Mungu amekulinda kiasi gani endelea kumuomba akupe faraja na ulinzi hakika utashinda.
 
Ninachoshangaa watu wengi wanadhani ni mapenzi tu ndo yanasababisha suicide,
Hii imenitokea katika maisha ya shule wala sio matatizo ya hela au mapenzi.

Nashukuru nilikutana na ujumbe mzito kule qoura forum dakika za mwisho nikahairisha kitendo kile kibaya.
Haya mambo yapo!
Acha tu mkuu .....

Mzee alinipeleka shule ya gharama

Lakini wapi depression ipo
...

Nlchukua maamuz magum kuishinda

Sintosahau
 
Hii tabia ya wanafunzi kujinyonga inaanza kishika kasi, wazazi/walezi/walimu na jamii kwa ujumla inabidi tujenge ukaribu na hawa vijana ili kuwapa ushauri nasaha
Juzi huku kwetu tumepoteza mchaga,mapenzi yamezingua kajinywea zake maji ya betri kimyaa..

Mambo si mambo naona shetani mweusi kachachamaa kwelikweli,.
 
Nipo katika hiyo hali sasaa..! Namuomba sana Mungu niishinde
Tafadhal

Usipende kukaa mwenyewe ...

Hadi sasa unapumua ...

God still have plans for you ...

Nlitaka kujiua ....
Nlikua nshachukua dawa nimeze niondoke

Ghafla sms ... Ikaingia kwenye simu yangu ...

Whatsapp ... Inaonyesha august 22 2021 ...

Kilichoandikwa siri yangu ...

Sitaki kujisifia ...
Sikutaka kuonyesha mm ni nan hapana

Changamoto ndo zinazofanya maisha yaendelee

Nisingepata hizi changamoto ...

Nisingekua neuro scientist hivi sasa
Nisingepata scholarship

They made me strong

Never ever give up ... Usijaribu hicho kitu .... ..

Angalia watoto wa somalia hapo chini je ni bora kuliko

Lets thank God for this opportunity he has given us despite the fact we are facing many hardshipView attachment 903566
download.jpeg
 
Ninachoshangaa watu wengi wanadhani ni mapenzi tu ndo yanasababisha suicide,
Hii imenitokea katika maisha ya shule wala sio matatizo ya hela au mapenzi.

Nashukuru nilikutana na ujumbe mzito kule qoura forum dakika za mwisho nikahairisha kitendo kile kibaya.
Haya mambo yapo!
Quora is not a forum, is just a platform bro
Ila pole kwa ulichokipitia muhimu kimeshakuwa historia
 
Tafadhal

Usipende kukaa mwenyewe ...

Hadi sasa unapumua ...

God still have plans for you ...

Nlitaka kujiua ....
Nlikua nshachukua dawa nimeze niondoke

Ghafla sms ... Ikaingia kwenye simu yangu ...

Whatsapp ... Inaonyesha august 22 2021 ...

Kilichoandikwa siri yangu ...

Sitaki kujisifia ...
Sikutaka kuonyesha mm ni nan hapana

Changamoto ndo zinazofanya maisha yaendelee

Nisingepata hizi changamoto ...

Nisingekua neuro scientist hivi sasa
Nisingepata scholarship

They made me strong

Never ever give up ... Usijaribu hicho kitu .... ..

Angalia watoto wa somalia hapo chini je ni bora kuliko

Lets thank God for this opportunity he has given us despite the fact we are facing many hardshipView attachment 903566View attachment 903567
Thanx Sana mkuu nlikuwa nashangaa watu wanaojiuaa aisee...lakini daah
 
Na experience the same, suicide thoughts are in my mind constantly, ila kwa uwezo wa Mungu ntayashinda
When life gives you lemons make lemonade! Kila mtu ana tatizo lake, usijione kama wewe peke yako ndo uko na shida! Kila jaribu huwa na mlango wa kutokea, japo wakati mwingine mlango wa kutokea huwa hauonekani haraka. Ni kuwa na subra na uvumilivu huku ukimwamini Mungu. Pia mkabidhi maisha yako Bwana Yesu, utapata faraja!
 
  • Thanks
Reactions: wax
Hii kata tamaa inayoendelea nchini kuna sababu...

Naona wahusika wanakula kimya tu kama haiwahusu....
 
Chuo nimepata first round ila kweny first batch ya walio pata mkopo sipo na nyumbanii hali ngumu nimewaza snaaa kiasi cha kutaka kuruhusu ilo pepo linivamie ila nashukuru Mungu nimeweza kulishinda tuzidi kuombeana jamanii[emoji120]
Mwamini Mungu, pia jua kuwa hali ngumu unayoipitia na wengine wanaipitia. Kila jaribu huwa na mlango wa kutokea. When life gives you lemons, make lemonade! Unapendwa sana...usikatishe maisha yako tafadhali! Jesus loves you!
 
Back
Top Bottom