mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
jamani wale wakazi wa mwanza nauliza hotel gani nzuri na haina gharama nyingi
Sparrow hotel
kuna visichana poa sana
jamani wale wakazi wa mwanza nauliza hotel gani nzuri na haina gharama nyingi
Mkuu karibu sana Mwanza a.k.a The Rock City...
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na hitaji lako dumbukia hapa....
Places to stay
Njoo Lenana hotel.... karibu sana Rock city
Mkuu karibu sana Mwanza a.k.a The Rock City...
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na hitaji lako dumbukia hapa....
Places to stay
kuna visichana poa sana
Daah aise nimepata hamu ghafla yakuja...
Karibu sana mamito, uje ule samaki.........