Mwanza: Meli ya MV Victoria yawaka moto!

Mwanza: Meli ya MV Victoria yawaka moto!

Uiangalia hata hayo majengo yenyewe ni yale yaliyojengwa wakati wa mkoloni na yamechakaa. Hakuna Kilichobadilika katika kipindi cha miaka 51 ya uhuru. Aibu tupu.
 
Nami nimeshafika eneo la tukio moto umedhibitiwa...ashukuriwe Mungu
 
Kuna mfanyakazi wa pale nimeongea nae safari ya leo ipo kama kawaida tatizo lilikuwa minor
Aisee hawa jamaa mbona wanachukua vitu kirahisi rahisi sana. Hiyo investigation imefanyika saa ngapi? Kilichofanyika hapo ni correction tu. Inatakiwa ifanyike thorough Investigation ili kujua chanzo na sababu, then inafanyika corrective action na baada ya hapo preventive action. Na hapo ndo itakuwa umesolve tatizo hilo permanently.
Ngoja moto uje kuwaibukia katikati ya safari usiku wa manane, sijui watamlaumu nani.
 
camera gani ina poor quality kiasi hiko,hiyo itakuwa simu ya mchina

natumia simu inayouzwa tiGO pekee, inaitwa 3G. Ni made china, bei yake 45,000/- tu, cha msingi nimeweka picha nilizopiga baada ya kuzuiliwa kwenda ndani. hapo ni kwa nje kabisa, na watu uwaonao ni wale waliofika kushangaa meli inavyoungua.

Mamlaka husika wameamua kufunga geti kwa kohofia vibaka, kwani kumbuka kuna mali za watu zilikuwa zinasombwa kwa ajili ya safari ya jioni.
 
Aisee hawa jamaa mbona wanachukua vitu kirahisi rahisi sana. Hiyo investigation imefanyika saa ngapi? Kilichofanyika hapo ni correction tu. Inatakiwa ifanyike thorough Investigation ili kujua chanzo na sababu, then inafanyika corrective action na baada ya hapo preventive action. Na hapo ndo itakuwa umesolve tatizo hilo permanently.
Ngoja moto uje kuwaibukia katikati ya safari usiku wa manane, sijui watamlaumu nani.

Sina uhakika sababu ilikuwa nini ila nimeona kuna mtu humu amepost amesema tatizo lilikuwa ni mafundi waliokuwa wanachomelea lililetwa na cheche zilizotokana na kuchomelea.., (hio ni according ya post ya mtu humu ndani sina uhakika), ila issue ya safari kuwepo leo usiku nina uhakika 100%
 
chanzo cha moto inasemekana kuwa ni cheche ambazo zili ruka na kushika kwenye magodoro ambayo yalikuwa karibu na eneo ambalo mafundi walikuwa wanachomelea. Kwa mujibu wa kamanda wa mkoa
 
Ni KWA SABABU RAISI TULIE NAE HAKUWA CHAGUO LA WA TANZANIA HATA KIDOGO!

ovyoo hakuwa chaguo la watanzania,kivip acha up uyu ni Rais wa Watanzania na tunatakiwa tumpe ishirikiano wa hali ya juu katika kutekekeleza majukumi yake,isipokuwa asilimia tisini ya watu wa jf ni wana chadema,hivyo ni ngumu lwao kukubaliboa yamayotemdwa na Serikali ya jk
 
HII meli si imechoka sana??
th

2013 - 1960 (yazinduliwa) = 53 years of service (kijeba sio?!) + ufisadi wa vipuri + Overloading + uzembe wa kitanzania!!!!!!!!!!!!!!! Tafakari.
 
Sina uhakika sababu ilikuwa nini ila nimeona kuna mtu humu amepost amesema tatizo lilikuwa ni mafundi waliokuwa wanachomelea lililetwa na cheche zilizotokana na kuchomelea.., (hio ni according ya post ya mtu humu ndani sina uhakika), ila issue ya safari kuwepo leo usiku nina uhakika 100%
Ndio maana nasema hata kama kalikuwa ni kacheche ka welding tu. Bado Investigation inatakiwa kufanyika. Usalama kwenye hicho chombo haitakiwi kuwa kitu cha kubahatisha. Ni lazima uwe na uhakika kuwa kweli kila kitu kipo sawa na matatizo yote yamepatiwa tiba.

Sasa najiuliza katika muda mfupi huu, hiyo investigation imefanyika saa ngapi hadi kujiridhisha kuwa meli ipo salama kwa safari?

These huys are just taking chances.
 
natumia simu inayouzwa tiGO pekee, inaitwa 3G. Ni made china, bei yake 45,000/- tu, cha msingi nimeweka picha nilizopiga baada ya kuzuiliwa kwenda ndani. hapo ni kwa nje kabisa, na watu uwaonao ni wale waliofika kushangaa meli inavyoungua.

Mamlaka husika wameamua kufunga geti kwa kohofia vibaka, kwani kumbuka kuna mali za watu zilikuwa zinasombwa kwa ajili ya safari ya jioni.
kama vipi nichukulie no ya huyo mrembo hapo mkuu,sina hali huku nilipo lol
 
... Ahadi ni deni... Na mbadala wa MV BUKOBA bado. Tunawaomba wanaCHICHIEMU wa kanda ya ziwa muwe wavumilivu. Kwavile tuliwapa vitenge na kofia, pamoja na wali mliokula bado tunafidia hayo.
Kwa sasa siyo rahisi kupata meli ya kuwahudumia, kwani tuko kwenye mchakato wa kutafuta fedha za kuwanunulia kofia na vitenge pamoja na fulana.
Mtatuwiaradhi nasikia mnapenda sana KACHELE (KIBUZA MAGEZI), kwenye uchaguzi wa 2015, tumewandoa kwenye bajeti..., na kuwaongezea wanaCHICHIEMU na wapiga kura wenzenu wa Ntwara.
Kuhusu hiyo ya kuchicha kitoweo, tunaomba wachiristu muwe mna chincha E'mpunu tu! au mkiona vipi na hiyo wachieni nayo wawasaideni.
CHICHIEMU OYEE...
Wanaichi wa Kemondo bay Oyee...
 
Back
Top Bottom