Wasukuma mmeaibisha sana Bandugu zangu yaani KURUDI kula matapishi yenu wenyewe na kumchagua Mkoloni?
Heri sisi Wadakama tunajulikana kuwa siku zote tumeshikiwa AKILI zetu na Mkoloni Mweusi, ila nyie mliokuwa mbele kuongoza mapambano ghafla mmefumbwa mdomo na kuanza kumshangilia Mkoloni?
Haya basi, msubiri Mwanza kuwa kama Swaziland ....... ahhh sorry Switzerland.
Kwa Magufuli sintawalaani sana kwani DIKTETA huyu atatufaa sana na hasa Akili za Ma-CCM waliozoea kuishi kwa uongo uongo na udanganyifu mwingi. Wizi na Ufisadi ndiyo wacha. Nina imani wengi nyumba zao zitabomolewa maana CCM ndiyo wenyewe kwa kuvunja sheria. Wale wote waliojitaifisha mali za Serikali basi Rungu la Mzee wa Misifa itawaangukia.
Pasco husema KARMA si ya kuidharau na hukumu ya Binadamu ni hapahapa duniani na wala siyo kusubiri siku gani sijui eti Yesu arudi. Mnaoshangilia kuingia kwa Magufuli eti kwa kuwa ni CCM mwenzenu, nyie nyie kesho Mungu atawachapa kiboko. Namuomba Mungu Magufuli aje awe Mkatili kwa Mijizi, Mifisadi, Mitapeli, Miuza Unga, Mivivu............
Tulimkataa Sallim A Sallim eti ni Muarabu na tukamchagua Mswahili Mwenzetu, sasa tunalia eti nchi giza, hakuna maji, dawa hakuna, huduma mbaya nk. Sasa hapa kosa la nani? SAS kajikalia zake kimya anaangalia jinsi MINYUMBU ya nchi hii inavyoteseka huko Serengeti (Tanzania) na nchi ikiwa Auto-Pilot.
Nimeshasema kabisa, Ndugu zangu wote wa Tabora, Sikonge, Mwanza, Shinyanga akija kuomba msaada SIMPI. Namwambia nenda CCM ukaombe. Naomba watu wote waliopo Dar es salaam waanze kampeni nzito kwa kuwaSHIKISHA adabu ndugu zao waliopo BARA kwa kuwanyima Misaada ili waanze kuingiza akili zao Mukichwa.
Nothing Personal. Wasukuma mmetuiga Wadakama ni AIBU sana nyie NGOSHA na Bana-Nkima. Halafu hiyo 15% ni Wanyamwezi na Wasukuma (Wadakama na Wasukuma) au kwa Ufupi Wanyamwezi wa Kaskazini na Kusini. Ukiondoa Tabora, haifiki hiyo 15%. Pia kwa sasa Tabora tulizaliana kama PANYA hadi nakumbuka Sumaye alitufokea tupunguze Kuzaana ili kuijaza dunia peke yetu. Miaka kadhaa nyuma Tabora ilikuwa na watu laki tatu na ushee. Ila sasa pamoja na kupunguzwa ukubwa, wapiga kura pekee ni zaidi ni Milioni moja..... Hehehee twajua kukatika.
Mungu Mlete Dikteta Magufuli AINYOOSHE nchi hii na kuondoa UJINGA, Uvivu, Woga, Ufisadi, Uteja, Pushers etc.
Nyie tukaneni tu but beware. The giant is awakening and it has 15% of the population. Nyie na ukanda na Uchagga wenu kujiona eti ni bora kuliko makabila mengine ndo mtaona kama mtawahi kutawala nchi hii. Unless mfuate ushauri wa Nassari mjitenge muanzishe Ndizi Republic. Mnatuletea ligombea halieleweki linatetemeka eti mapenzi mahaba halafu lichama lenyewe mmejaza watu wa huko huko mnafikiri watu wajinga? Theatre Arts pelekeni huko huko lakini beware. The giant is awakening. You have been warned!