Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

kweli nimeamini manyara na arusha hawakutakiwa kabisa kuwa mkoa mmoja na aliewatenganisha inaonesha alifanya upembuzi yakinifu kifikra baina ya izo sehm mbili....tizama matokeo ya uchaguzi manyara na arusha ver differ kabisa...manyara mko juu sana ataa kifikra inaonesha mko mbali sana kuliko arusha na ndio mana wataalam waliligundua ilo mapema na kuwatenganisha mapema Sana....big up manyara ntakuja oa manyara...manyara you did it.....magufuli hapa kazi tu....
 
Nyie wachagga hao binti zenu wanaokuja kupiga ukahaba mwanza kwa kisingizio cha kusoma saut mtakoma.
 
Wamepiga kura kwa ukabila kama walivyoshawishiwa na mgombea wao

Tatizo lilianzia kwa Ukawa kuwa na mwelekeo wa Ukanda na Udinı.Arusha na Moshi walimuunga mkono Lowasa kwa sababu anatokea upande huku kukiwa na ıdadı ndogo sana wanaomuunga mkono Magufurı.Hiyo ilijenga hisia za wao pia kumuunga mkono mtu anayetokea jamii yao.Udini ulikuwa wazi na kosa kubwa la kimkakati.
 
Angalia safu ya UKAWA: Meneja kampeni MREMA, wakili wa UKAWA JOHN MILLYA, mgombea Urais EDWARD LOWASSA, Mwenyekiti mwenza UKAWA, FREEMAN MBOWE, JAMES MBATIA-PIA MSEMAJI MKUU WA UKAWA, Mpambe mkuu, FREDERICK SUMAYE, MEDIA: ITV, RADIO ONE, NIPASHE NA THE GUARDIAN. Mlezi na mshauri Mzee Edwin Mtei. Main sponsor: Mzee Ndesambulo na Regnad Mengi.

Hapo ilikuwa kampeni tu je wangechukua nchi?
This is too much hawa jamaa wamezidi, kwanza wanajulikana kwa ubinafsi akipata mmoja wote wanajazana eneo hilo mfano halisi ni tiaraei sasa tukiwapa nchi si itakua balaa, wasukuma sawa wanaweza wakawa na ukabila lakini si wabinafsi ivo.
 
Wana mwanza tuwe wavumilivu, tuache kujibizana na watu wasiokuwa na hekima. Acheni watukane wanavyotaka ikiwezekana watembee watupu barabarani, tumeshawajua sasa.
 
Wana mwanza tuwe wavumilivu, tuache kujibizana na watu wasiokuwa na hekima. Acheni watukane wanavyotaka ikiwezekana watembee watupu barabarani, tumeshawajua sasa.

Akili zao ni kama za ''ng'wana maduka'' aka ''fisi jike'' ni kweli.
 
Wasukuma bhana wajinga ... Mwanza chenga tupu yaani mi nilijua nfio ngome ya UKAWA kumbe mafisi

Nani kakudanganya kuwa MZA ilikuwa kambi ya chadema? unajua chadema muda mwingi wamekuwa wakipiga propaganda tu, kimsingi hawakuwa na kambi imala-kambi ilikuwa ni Arusha mjini, Iringa mjini, Mbeya mjini na Moshi.
 
Pumbavu zao hawa wasituchoshe wasukuma wasukuma hivi mlishawahi hata kuwapa misaada Tena nawapa hongera wasukuma kwakuwaweza maana mnaonekana kuna kitu mliahidiwa ukawa ingeingia ikulu ndo maana mmejaa mapovu tu.
 
Toa ushuxx wako hapa.
Wa Arusha walinipigia Lowassa Mabadiliko wa kanda ya ziwa walinipigia Magufuli wajinga,wapumbavu,maskini nk.

Achen ufaxxxx na mjue mtalisugua benchi miaka 50 bila kupata hata Upm.

Kila kitu mmejenga Kilimanjaro na Arusha. Mmejigawia hadi mabenki ukienda teller ni chaga tu

idadi ya wasukuma wenye elimu inayotosha kuwaweka hata wawe bank tellers ni ndogo mnoooooo.... upuuzi wenu huu huu ndo unawaponza.... na jinsi mnavokuaga na watoto ka utitiri.. mzee kasema anawapa elimu bure.. anawasomeshea watoto wenu hadi chuo kikuu... mkaona hapana.. ngoja tumchague msukuma mwenzetu.... halafu unakuta anaesema hivi ana watoto 4 hawajaanza shule... wamepangana kama slace za mikate..... mmejirudisha nyuma... lowassa hana shida.. ni bilionea... wewe ndo utaisoma namba...
 
Hawakusaliti mabadiliko bali uchakachuaji wa kura uliofaywa na Political Gangstars (CCM) ndiyo umetoa matokeo hayo

Nakubaliana nawe mkuu.yani ni umbumbu wa aina yake kukubaliana na matokeo ya mwanza
 
Mkuu, huko ndiko lilikopigiwa lile bao la mkono. Lake zone ilikuwa ni kete kubwa sana kwenye mabadiliko ya hii nchi na Magamba baadaya ya kugundua hilo ndipo mipango mikakati ya bao la mkono ilikofanyia kazi.

ni kweli mkuu tusiwalaum kihivyo
 
Mwaka 2010 wasukuma waliwapatia cdm wabunge zaidi ya kumi cha ajabu akuna viti maalum hata mmoja aliyetoka kanda ya ziwa.

Safari hii hakuna cdm mwanza simiyu geita shinyanga wala tabora.

Hawa wachaga inabidi wajifunze.

Badara yake wanawapa viti maalum watoto wa ndesapesa, mke wa Slaa na wakasikazini wengine.
 
Wasukuma mmeaibisha sana Bandugu zangu yaani KURUDI kula matapishi yenu wenyewe na kumchagua Mkoloni?

Heri sisi Wadakama tunajulikana kuwa siku zote tumeshikiwa AKILI zetu na Mkoloni Mweusi, ila nyie mliokuwa mbele kuongoza mapambano ghafla mmefumbwa mdomo na kuanza kumshangilia Mkoloni?

Haya basi, msubiri Mwanza kuwa kama Swaziland ....... ahhh sorry Switzerland.

Kwa Magufuli sintawalaani sana kwani DIKTETA huyu atatufaa sana na hasa Akili za Ma-CCM waliozoea kuishi kwa uongo uongo na udanganyifu mwingi. Wizi na Ufisadi ndiyo wacha. Nina imani wengi nyumba zao zitabomolewa maana CCM ndiyo wenyewe kwa kuvunja sheria. Wale wote waliojitaifisha mali za Serikali basi Rungu la Mzee wa Misifa itawaangukia.
Pasco husema KARMA si ya kuidharau na hukumu ya Binadamu ni hapahapa duniani na wala siyo kusubiri siku gani sijui eti Yesu arudi. Mnaoshangilia kuingia kwa Magufuli eti kwa kuwa ni CCM mwenzenu, nyie nyie kesho Mungu atawachapa kiboko. Namuomba Mungu Magufuli aje awe Mkatili kwa Mijizi, Mifisadi, Mitapeli, Miuza Unga, Mivivu............

Tulimkataa Sallim A Sallim eti ni Muarabu na tukamchagua Mswahili Mwenzetu, sasa tunalia eti nchi giza, hakuna maji, dawa hakuna, huduma mbaya nk. Sasa hapa kosa la nani? SAS kajikalia zake kimya anaangalia jinsi MINYUMBU ya nchi hii inavyoteseka huko Serengeti (Tanzania) na nchi ikiwa Auto-Pilot.

Nimeshasema kabisa, Ndugu zangu wote wa Tabora, Sikonge, Mwanza, Shinyanga akija kuomba msaada SIMPI. Namwambia nenda CCM ukaombe. Naomba watu wote waliopo Dar es salaam waanze kampeni nzito kwa kuwaSHIKISHA adabu ndugu zao waliopo BARA kwa kuwanyima Misaada ili waanze kuingiza akili zao Mukichwa.

Nothing Personal. Wasukuma mmetuiga Wadakama ni AIBU sana nyie NGOSHA na Bana-Nkima. Halafu hiyo 15% ni Wanyamwezi na Wasukuma (Wadakama na Wasukuma) au kwa Ufupi Wanyamwezi wa Kaskazini na Kusini. Ukiondoa Tabora, haifiki hiyo 15%. Pia kwa sasa Tabora tulizaliana kama PANYA hadi nakumbuka Sumaye alitufokea tupunguze Kuzaana ili kuijaza dunia peke yetu. Miaka kadhaa nyuma Tabora ilikuwa na watu laki tatu na ushee. Ila sasa pamoja na kupunguzwa ukubwa, wapiga kura pekee ni zaidi ni Milioni moja..... Hehehee twajua kukatika.

Mungu Mlete Dikteta Magufuli AINYOOSHE nchi hii na kuondoa UJINGA, Uvivu, Woga, Ufisadi, Uteja, Pushers etc.

Nyie tukaneni tu but beware. The giant is awakening and it has 15% of the population. Nyie na ukanda na Uchagga wenu kujiona eti ni bora kuliko makabila mengine ndo mtaona kama mtawahi kutawala nchi hii. Unless mfuate ushauri wa Nassari mjitenge muanzishe Ndizi Republic. Mnatuletea ligombea halieleweki linatetemeka eti mapenzi mahaba halafu lichama lenyewe mmejaza watu wa huko huko mnafikiri watu wajinga? Theatre Arts pelekeni huko huko lakini beware. The giant is awakening. You have been warned!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom