Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

kweli nimeamini manyara na arusha hawakutakiwa kabisa kuwa mkoa mmoja na aliewatenganisha inaonesha alifanya upembuzi yakinifu kifikra baina ya izo sehm mbili....tizama matokeo ya uchaguzi manyara na arusha ver differ kabisa...manyara mko juu sana ataa kifikra inaonesha mko mbali sana kuliko arusha na ndio mana wataalam waliligundua ilo mapema na kuwatenganisha mapema Sana....big up manyara ntakuja oa manyara...manyara you did it.....magufuli hapa kazi tu....
Ukioa Manyara kizazi cha nyoka si ndo kitaendelea! Labda uoe majimbo chadema walipochukua lakini sio kwa wale wambulu makahaba kama aliekuzaa
 
Nakubaliana nawe mkuu.yani ni umbumbu wa aina yake kukubaliana na matokeo ya mwanza

Wewe unataka kukataa matokeo ila wabunge wenu mlio wasimamisha walio anguka mwanza wamekubali nakusaini makaratasi kuwa wameshindwa. Sasa who are u unaongea lugha kama hiyo msitake kutuletea matatizo ndani ya nchi Yaani kushinda mshinde nyie tu wakishinda ccm wezi.
 
Nani kakudanganya kuwa MZA ilikuwa kambi ya chadema? unajua chadema muda mwingi wamekuwa wakipiga propaganda tu, kimsingi hawakuwa na kambi imala-kambi ilikuwa ni Arusha mjini, Iringa mjini, Mbeya mjini na Moshi.

Kwi kwi kwi.... Walikuwa wanajazana kilaaiku asubh hotelini kumuamsha mzee tutamiss haya maigizo... Kabla hajatoka hotelini asubh tunadeki lami na sabuni za unga. Na tulipokuja kwenye kura #Hapa Kazi tu bonge za wajanja

Mwanza Oyeee

Ilemela Oyeee

Nyamagana Oyee

sema kwa sauti ya Dr.Magufuli
 
Bao la mkono hilo. Watu wa mwanza wanataka mabadiliko na uhakika walimpa Lowasa kura za kutosha.
 
Tena uache mada ya ukabila, uishie hapo hapo, ni mkoa gani ulioonyesha ukabila uliokomaa kama siyo Arusha na Kilimanjaro? angalia kura za madiwani, ubunge na Rais, kuna baadhi ya vituo magufuri alikuwa anapata sifuri kwa 200 au zaidi. yaani kituo kizmima wote wanamchagua lowasa. CHADEMA kina mtazamo wa kikaskazini ndiyo maana wananchi wameshindwa kukiamini japo wanataka kweli mabadiliko. Wananchi walista kufanya uamzi tar 25. waligeuza gea hewani. mwenyeki mbowe kakszini, mbatia kaskaz, Lowassa-Kaskaz, Sumaye-Kask, John Mallya-Kask, Mrema-Kask, na wengine lukuki, watanzania walishtuka.
vp maendeleo ya huo upande,utalinganisha na kanda ya ziwa,tena yenye rasilimali kedeked.
 
watumishi hao waliweza kuonekana na kusikika kupitia azam tv wakati ccm wakifurahia shindi wa anelina mabula aliyemshinda wenje. wakiwa kwenye kofia na t-shirt nyeupe zenye lebo ya tume walijumika na wale wa ccm waliovalia nguo za kijani kurukaruka na kuchizika kwa matokeo hayo-namtuma wenje akiweza aende azam tv atupatie ile clip ya azam ni muhimu sana ama yeyote anayeweza aturushie humu
 
Mara nyingi akili ndogo hutawaliwa na akili kubwa haijalishi akili kubwa inatoka wapi
 
Mwanza haitishi wala nini makamnda msiwe na hofu mikoa kibao tumechekecha huyu jamaa hana jipya huk mwanza interval ni ndogo sana amemuacha lowasaa but huko dar mbeya mtara arush moshi nk interval aliyomuacha magu ni makilomita

kumbuka mwanza mi 1.8 voters na wamegawana

Kweli eeh...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom