Mwanza: Mangula azomewa kwa aibu

 
Kwanini wasizomewe? Chama ambaco badala ya kujibu hoja za msingi, wanadeal na kueneza propaganda za kipuuzi!
 
Hahaha Huyo bwana ni wa ajabu sana sasa kama kuna Mabugando mengi wao CCM ndo wameyajenga?kwa hiyo hata hii nyumba ninayoishi wameijenga wao hahaha
 
hivi vidole viwili maana yake ni nini?hivi hawa walikuwa ni wananchi wa kawaida au wanachama wa chama fulani walioamua kushabikia chame chengine?

Kwani betlehem, wanachama wa chama fulani sio wananchi wa kawaida?
 
Last edited by a moderator:
Kwa miji mikubwa. Na labda Tanga kidogo.

Mkuu ninachofahamu mimi ni kwamba katika majiji yote ulivyosema isipokuwa Tanga,CHADEMA wanakubalika,na hii sababu yake ni ndogo tu,kwamba kwenye miji hiyo kuna watu wa kila aina,(MCHANGANYIKO) ambao ni vigumu kuwacontrol!!!!!,lakini nayo wanaishia kuchukuwa makao makuu ya miji,kwa mfano Arusha Mjini,maeneo yaliyobaki ukiacha Arumeru na huko Rombo,Mwanza(JIJI) wilaya zilizobaki isipokuwa ukerewe,Mbeya Mjini,maeneo yaliyobaki hakuna,Tanga kama ulivyosema hakuna kabisa,Miji mingine mikubwa iliyobaki hakuna.
 
Mkuu chama naomba Link ya hiyo habari.Hapa hatuhitaji porojo.

BTW,nasikia Nakala za gazeti la Mwananchi kote nchini zimeisha leo mapema asubuhi hii.Ndiyo magazeti yajifunze unapotoa habari ya kweli gazeti linajiuza lenyewe

Nitakupatia bila ya wasiwasi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
kweli huo ndo mwisho wa maendeleo ya ccm ghorofa nyingi ndo maendeleo vp akiwapo tajiri anayemiliki ghorofa 10 utasema mwanza imeendelea.puu! Mangulala
 
Kwani betlehem, wanachama wa chama fulani sio wananchi wa kawaida?
ni vyema zaidi ukasema ccm wakawa wanazomewa na chadema.kwa sababu ukisema ccm wakawa wanazomewa na wananchi walionyoosha vidole viwili kana unakuwa unataka kuleta hila tu kana kwamba unaowapa taarifa wako katika enzi za ujima.
 

Mma Mbuzi!
Magamba bwana!
Propaganda zote hizi...oh! CDM inakufa ...sijui kadi ya Slaa!! na UWT wanasuka mpango....
Wapi! this is point of no return! WaTZ hawarudi nyuma!
 
"Hawa watu wa Mwanza wanaleta ukanda na ukabila hawa" hii kaskazini shida sana"
 

Acha Uongo,Karatu ni mji mkubwa? Igunga je? Hai ni mji mkubwa? Mbulu nayo unasemaje?

Acha propaganda za kijinga.
 

Ya!!. Ngoja maCCM yaende huko tuangali kama bado yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…