Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

mtafukuzana sana mwaka huu hadi 2015 tutaona mengi..cdm njia ya kujenga chama c kufukuzana....kubalini kukoselewa..cdm ingekuwa ccm si mngefukuzana hadi basi

Na ndomaana nchi inayumba as ccm mmekumbatia wasaliti wa taifa hili kama akina kinana, lowasa,chenge na wengine wengi.....ni afadhali chama kife lakini msimamo wake ukabaki unafaamika
 
Well done Bavicha! Hicho ndo kitu tulikisubiria sana! Fukuzaaaa! Magafu kavuna madafu
 
Hizi ndizo hatua stahiki zinazopaswa kuckuliwa na chama makini, kwa maslahi ya wanachama na watanzania.

Nidham na utii kwanza, ilikuweza kuhudumia watanzania kwaufanisi, hongera BAVICHA mwanza kusisitiza maadili na utii.
 
Akasamsilimie matata! Fukuzaaaaaaa
 
mtafukuzana sana mwaka huu hadi 2015 tutaona mengi..cdm njia ya kujenga chama c kufukuzana....kubalini kukoselewa..cdm ingekuwa ccm si mngefukuzana hadi basi

Ndiyo,CHADEMA siyo kama ccm,inayokumbatia wezi,majangili,mafisadi n.k.CHADEMA ukiwa mshenzishenzi,piga chini kavimbie lumumba,Chadema for life.
 
Chadema mbona tamko lenu limekaa kihuni kuweni wavumilivu mnamuita mwenzenu Shetani/Ibilisi.
 
Unawafukuza wanachama hushughulikii matatizo....hiyo sio dawa hata kidogo
 
Hajaenda mahakani tu , maana inasemekana Mahakama za Mwanza hazina noma !
 
Habari nzuri hizi wakuu hawa wasaliti nikuwatoa tu hakuna haja ya kukaa na nyoka ndani ya nyumba huo usingizi uta patikana kweli?
 
Ha ! Kumbe wamefanya kikao ex-parte? Tanzania natural justice lini itaonekana? Wamerudia yaleyale ya mwakyembe probe commitee dhidi mh. Lowasa au nimeisoma vibaya hiyo barua iliyoandikwa kienyeji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom