Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

Huyu ametumika kama Toilet Paper na akina Nape kwa sasa sidhani kama ataitajika tena
 


...ukila fedha ya LUMUMBA unakula fedha ya...................................
 
KIBE....style ya CCM usilazimishe itumike CDM..kama nyie style ya 'huyu ni mwenzetu' hata kama anawachafua na kusaliti chama beyond no doubt mnaitaka,bakini nayo nyie. Kutofautiana kimtazamo (kukosoana) haimfukuzishi mtu chamani ndani ya CDM bali makosa ya kisera na usaliti hususan kutumika na CCM kamwe hakuvumiliki. Wewe ni shahidi, mara nyingi viongozi wa CDM wamehitilafiana kimtazamo lakini hawakufukuzana ila usaliti kama huu haukubaliki. Heri ubaki na jeshi la askari 100 watiifu, shupavu na wenye morali kuliko kuwa na askari 1,000 vigeugeu, wasaliti na waoga. Hii inaashiria CDM ikishika dola, uongozi ni dhamana na hauna guarantee.
 
Kuna lugha ya kufikiria na lugha ya kutafsiria Wasalit hawana tafsiri sahihi huenda ni kutokana na kutokuwa na lugha na zote. HII NI VITA dhidi ya wasio na lugha 1 ama wasiona lugha kabisa.
 
Yaani kwa sababu tu maandiko yanasema visasi ni vya Mungu mwenyewe................... otherwise huyo Magafu anastahili kuchomwa moto kabisa
 
Ndugu yangu Magafu kweli unakubali kurubuniwa na hao washenzi wa ccm,bahati nzuri wewe ni mwanasheria,je hoja ya kumiliki kadi ya ccm na uanachama inatafasiriwaje?.Hiyo ni laana yako ya awali ya kufanya mambo kinyume na mapenzi ya Mungu na utaendelea kupata shida sana duniani hapa kama utarudi kutubu kwa Mungu wako ile laana ya kutukana mzazi wako na kumnyang'anya vifaa na nguo ulizokuwa umemnunulia, laana hiyo haitakuacha daima
 
Mbwa kichaa hung'ata na kuwabwekea wenyeji kwanza..... kuendelea kumfuga ni kukaribisha maafa!
 
Shame upon him, bado wengine wanakuja njiani hatutaki aibu wala kubebana, hii ndio dawa pekee ya wachumia tumbo, hao ndio wana haribu future ya nchi kwa kuamini katika unafiki.
Hongerini sana Bavicha mz.tuko pamoja daima,
 
Safi sna hayo ndo maamuzi magumu tunayoyataka kwa watu kama hawapeople's...................!
 
Magafu chapa lapa nenda CCM huko ndiyo kwako.Jiandae kuwapokea Masalia wenzako.
 
safi sanaaa jamani mkakati wa ccm ni kuvuruga chama kwa ktumia vipandikizi hivyo makamanda lazima tuwe macho na mgojwa huyu aliyetaabani akisubiri kufa.
 
Kuna umuhimu sasa wa kutengeneza Antivirus kudetect virusi wote ndani ya chama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom