Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Sasa wewe unalalamika kwakuwa ulienda sehemu si yako,ulipaswa kwenda sehemu inayoendana na bajeti yako Mkuu.Hata Dar beer local inauzwa 1500-2000 lakini kuna sehemu inauzwa 9,000.Ni wewe tu unataka kwenda wapi.Wallet yako ndiyo ilipaswa ikuongoze.
Nilikuwa nimekaa sehemu local sana mkuu....misungwi unapafahamu mkuu, kale kamji kamji nilikaona ni ka kifara kuliko hata geita mjini
 
Nilikuwa nimekaa sehemu local sana mkuu....misungwi unapafahamu mkuu, kale kamji kamji nilikaona ni ka kifara kuliko hata geita mjini
Ndiyo ujue Mkoa wa Mwanza una pesa.Yes Misungwi napafahamu kuliko unavyodhania.Naijua Mwanza na wilaya zake zote kama kiganja cha Mkono wangu.Unalinganishaje Misungwi na Geita ambayo ni Makao Makuu ya Mkoa?
 

Uliuliza watu gani?
Hii hapa ni nn?
Nenda town ilipo bank ya EQUITY kuna Duka kwa ndani zipo
 
Hiyo mikate ipo hapo Pizzeria na Royal

Yaani wabongo hua mna ujinga mkubwa sana, ukiwa ugenini eti unatengeneza maneno ya dharau dhidi ya mji uliopo, ni kama ushamba ushamba tu unakusumbua
 
Nimepata elimu hapa!.
Uswazi ya Mwanza ni Mabatini,Igogo na Bugarika hiyo ni kama kwa Dar,Tandika,Manzese,Tandale.Pia kuna mitaa ya Uhuru,Nyamanoro,Pasiansi na Kirumba hii ni kama Mwananyamala au Kinondoni hii ya Manyanya au Mkwajuni.Halafu sasa kuna maeneo ya kishua ya wenye pesa zao
 
Hiyo mikate ipo hapo Pizzeria na Royal

Yaani wabongo hua mna ujinga mkubwa sana, ukiwa ugenini eti unatengeneza maneno ya dharau dhidi ya mji uliopo, ni kama ushamba ushamba tu unawasimbua
Mkuu Pizzeria ule mgahawa bado unafanya kazi?.Nilikuwa napenda sana kwenda pale nikiwa Mwanza
 
Capri point nadhani, naisikia sana sifa zake.
 
Capri point nadhani, naisikia sana sifa zake.
Hiyo ni mitaa ya kishua nyumbani kwao na Lau Masha hiyo kwa Dar ongelea Oysterbay au Masaki.Pia kuna Bwiru Uzunguni na Isamilo.Kuna maeneo ya Nyasaka kule ni kama Mbweni au Bunju A kwa hapa Dar na maeneo mengi sana,sijaongelea hapo Nyakato,Nyegezi,Mwananchi huko kuna maeneo ya kishua zaidi pia.
 
Mkuu mbona sampuli yako ndogo sana alafu ume confirm jibu pasipo kushirikisha wadau hasa Great thinkers? Umefeli sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…