BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
- Thread starter
-
- #41
Kwa lipi hasa? Mwanza imejaaa slumus juu ya mawe kuna kipi pale? Vyakula hawajui kupika unataka niniEndelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.
Umeamua kufurahisha genge, mikate hiyo ipo kibao mwanza.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Si ndiyo hapo, kula maboga au mahindi ya kuchemsha na chai safi.Mbona mnaendekeza kula sana [emoji276]yaani unaharibu siku nzima kutafuta mkate?ungekula mihogo ungepoteza nini?,anyway karibu Singida
Ndio muende mkawekeze huko sasa. Mkisia vijana mnatakiwa kujenga taifa ndio hiyo sasa.Mwanza bado sana, kwa swala la huduma ni bado sana
Mkuu ujatafta tu ila ipo kibao mimi mzee wngu anaumwa kisukari na kila siku anatumia brown au hujatafta mwanza mjiniJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Wapi? Kama ni mwanza umeamua kufurahisha genge.Mimi nimekosa Nutella
ni kweli kbsa mkuu ipo sana tuUpatikanaji wa bidhaa ni kulingana na uhitaji wake/matumizi. Kwa Mwanza mikate hiyo haina soka kabisa na inauzwa bei ndogo kulinganisha na white bread. Sasa ukizingatia na kua mikate haina shelf life kubwa kwanini wafanya biashara wahangaike nayo?
Ukweli ni kua mikate hiyo ipo lakini haipatikani kila mahali sana sana kwenye supermarkets za wahindi utakuta tele.
Sitta supermarkets pia umekosa?? Huwa zinakuwepo za kutoshaMimi nimekosa Nutella
Elewa nilicho andika ndo ujibu basi!!!Kwahiyo kuanzisha bakery ya brown 🍞 bread Chalinze kutaifanya kuwa jiji??
Hata Mbeya ipo sana.HUU MKATE UNAWAFAA WENYE KISUKARI IRINGA IPO SANA SUPERMARKETS
Mwanza?sio kweliMimi nimekosa Nutella
AChana nao, wazungu wa Migodini lake zone kote mahitaji yao ya vyakula yanatokea mwanza sasa kama mzungu anapata mahitaji yote mwanza sembuse huyo mmatumbi wa jf ndio aje aseme sijui brownbredi nininini huko...Ndio muende mkawekeze huko sasa. Mkisia vijana mnatakiwa kujenga taifa ndio hiyo sasa.
Kwanza sipajui Mwanza, hivyo siwezi kukushauri, uende wapi.Ndio maana nikazunguka sasa kote kule unako weza pata, wanao oka.mikate hawana, migajawa hawana, Super market hawana, sasa pengine unazani nilipaswa kwenda wapi?
Unaambiwa uende mbeya, ukanunue, alafu ukalie mwanza.Hata Mbeya ipo sana.
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.