Kama huwezi kujua watoto wanaokula samaki tena fresh kwa wingi ndiyo wanakuwa na akili zaidi.Ninachelewa hata kuhoji uelewa wako katika sayansi ya vyakula.Au unaona kula chips zege,tomato na pepsi baridi ndiyo kula chakula bora.Ndiyo maana hiyo mikoa watoto wanaongoza kwa utapiamlo na baadae wanakuwa na udumavu wa akili. Sasa ukishakuwa na vijana wengi wenye udumavu wa akili basi tegemea kukosa ubunifu, utegemezi wa maamuzi muhimu (yaani wanategemea watu wengine wawafanyie maamuzi) etc
Walitaka wakute chips mayai kama walivyozoea huko DarMwanza n sato tu vitu vingine muwe mnaendanavyo, msiwasumbje wenye mkoa wao.
[emoji28][emoji28]Walitaka wakute chips mayai kama walivyozoea huko Dar
Ni kweli kabisa ni patamu sana hasa mjini.Kuna kule Kiseke jamani hupigi hatua 2 bila kukutana na mbwa koko 15. Yaani nahisi kiseke mbwa koko ni wengi kuliko watu wanaoishi. Jioni pale mjini wapika vitumbuka kila baada ya hatua moja.
All in all mwanza ni mji mzuri sana kuishi hata kama unaanza maisha kila kitu kipo affordable kuanzia vyakula, usafiri mpaka nyumba za kupanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa ni kumwaga halafu hawana makali ukijikuna tu wanasepa....sema katika viumbe sipendi wanisogelee ni mbwa huwa napata tabu nikikutana na mbwa.Nilipoenda Mara ya kwanza Mwanza, nilishangazwa sana na uwingi wa Mbwa
nenda KULEANA ipo mingi tuJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Mbona husemi wa Arusha? Au mmesahau kwenye kati2003na 2004 waliwahi kuua mtu Tena katikati ya Mji.Kuna kule Kiseke jamani hupigi hatua 2 bila kukutana na mbwa koko 15. Yaani nahisi kiseke mbwa koko ni wengi kuliko watu wanaoishi. Jioni pale mjini wapika vitumbuka kila baada ya hatua moja.
All in all mwanza ni mji mzuri sana kuishi hata kama unaanza maisha kila kitu kipo affordable kuanzia vyakula, usafiri mpaka nyumba za kupanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema uwe na mtazamo mpana kuhusu vyakula visivyokobolewa, hata ngano yenyewe ukitengeneza bulgur ni chakula kizuri na kitamu kinachotokana na ngano isiyokobolewa, pia kuna pilau ya mtama usiokobolewa, au unaweza kupikwa kama wali ni chakula kizuri sana na bora mwilini kinaliwa sana maeneo ya India, bangladesh,pakistan na maeneo ya yote ya ukanda huo.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Mkuu mwanza nimeshafika na kuishi Igoma kwa miaka kadhaa huku nikifanya kazi Lugeye wilaya ya MaguFika rock city ujionee ukubwa wake kwa macho yako.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Una matatizo ya AkiliJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Arusha sijawahi kufika mkuu kwahiyo siwezi kusemea kitu ambacho sijakiona tofauti na Mwanza nimeishi kidogo tena hivi karibuni kuna mbwa wengi sana.Mbona husemi wa Arusha? Au mmesahau kwenye kati2003na 2004 waliwahi kuua mtu Tena katikati ya Mji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza bana