MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Iko hivi,mfuasi wa Shetani anaweza kuachana na njia mbaya na kujiunga na ukweli.hapo ndo mnapokosea ndugu zetu nyie mnakaa mkidhani vitu vinaapply kwenu tu kwa wengine haviwezekani.....nyie mnahisi ni ccm tu wanaoweza kuhamia chadema lakini wachadema hawawezi kuhamia ccm.....
lakini kwa hapa kwetu hata hao unaosema ni njia ya ukweli sio ni waongo,wanafiki na vigeugeu............Iko hivi,mfuasi wa Shetani anaweza kuachana na njia mbaya na kujiunga na ukweli.
Afu Mwanza ikishatingishika so what??Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Ukisema jiji letu litatingishika unajidanganya mwenyewe,muwe mnaona uvumi tu wa machinga wa ktkt ya jiji Nyamagana pekee afu mnajifariji eti jiji zima litatingishika!Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Mungu ibariki Chadema .Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
kesho urudi tena mkuu .Ukisema jiji letu litatingishika unajidanganya mwenyewe,muwe mnaona uvumi tu wa machinga wa ktkt ya jiji Nyamagana pekee afu mnajifariji eti jiji zima litatingishika!
Kwa nini wachoke? Wewe kama umechoka si upumzike tu?Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Inaonekana umepata maumivu makali sana, ucjali utazoea, hii sindano moja inatosha, nyingne ntakuchoma baadaeeAkili kama hizi zinawafanya watu kutoka sehem atokeapo huyu fisadi waolewe huko ughaibuni
tuwe wakweli na waungwana wakuu;Umenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
Ndio huyo wewe ulikuwa unadhani yupi.? Ama ulikuwa unamtaka anayeongea muda gani kwa mfano.?Hivi ni Lowassa yule yule aliyekuwa akiongea dakika 2,3 au mwanaye?
Wewe jee hapo ulipo unao huo mwelekeo.?Watu wengine kwa kupenda kuandika upuuzi,unawezaje kudai eti mwanza itatingishika kwa ujio wa mwanasiasa mufilisi na aliyekosa muelekeo!!
Nakuheshimu mkuu, hivi jee wewe umechoka.? Nadhani bado coz usinge ongea kitu kwenye uzi huu kama umechoka, natumaini bado unaelewa umuhimu wa mweshimiwa Edward katika taifa hili.!Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?