Sasa ndugu, sekta binafsi inapotetereka huyu mtu wa kawaida unayemsema anakuwa na hali gani? coz kuna mengi yanayofuata kukosekana ajira, kupungua mzunguko wa fedha nk. Tajiri hana shida atabadili namna ya uwekezaji na kuchagua utaomfaa yeyeInavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,
Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota kwa 20,000/=badala ya 200,000/=
Yaani wewe acha tu kazi tunayoItafika mahali watu wataanza kujiuliza nikinunua na mimi nini itakuwa hatima yangu kwa hali hii ya uchumi tuliyonayo?
Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo. Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza. Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kawhiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.
Sasa atakayeinunua atafanya biashara gani kama mambo ndio hayo?Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo. Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza. Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kawhiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.
Sasa atakayeinunua atafanya biashara gani kama mambo ndio hayo?