Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,276
- 33,583
Manta hofu,wewe tuUje na kinywaji tu
Manta hofu,wewe tuUje na kinywaji tu
Mkuu toka na bango siku hiyo umwambie mama kabisaJiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.
Aliyetuaminisha mabango tayari anakunywa bia uraiani 😀😀😀Mkuu toka na bango siku hiyo umwambie mama kabisa
Siyo shuleni ni nyumbani. Mkisikia baba anakuja ndiyo mnaanza kupanga viti na kuweka mwonekano safi wa sebule na kujifanyisha fanyisha vijikazi visivyo na kichwa wala miguu. Imo kwenye damu hii tabiaHuu unafiki ulianzia shuleni, siku za sherehe kama graduation ndio usafi na mapambo yanafanyika


😃😃😃😃 na ukikuta mshua ni mtu mbadi ni hatari sanaSiyo shuleni ni nyumbani. Mkisikia baba anakuja ndiyo mnaanza kupanga viti na kuweka mwonekano safi wa sebule na kujifanyisha fanyisha vijikazi visivyo na kichwa wala miguu. I'm kwenye damu hii tabia![]()
Kuwa mTZ ni kazi kabisaSiyo shuleni ni nyumbani. Mkisikia baba anakuja ndiyo mnaanza kupanga viti na kuweka mwonekano safi wa sebule na kujifanyisha fanyisha vijikazi visivyo na kichwa wala miguu. Imo kwenye damu hii tabia![]()
Mkuu,hebu muache apumzike sasa.Maana alikuwa analala na mafaili kitandani akibukua nchi ainyooshaje!😂😂😂😂
kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zoteJiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.







Hawa wapumbavu wa Halmashauri sijui wanakwama wapi kwenye kulipa bili za umeme afu wakuu wa mikoa wapoUsitetea ni ukweli kabisa
Makongoro road taa zilikua haziawaki
Kenyata road kuanzia pale stand ya igombe had round about ya ccm kwenda nyerere road wamefunga taa za bulb ambazo zinawaka siku nzima.
Wanafanya maigizo tu hakuna jipya hapo
Kawaida yetu sie, usafi ni hadi tusikie kuna mgeni. Dah ni shida kweli....Jiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.
Vipi kama ni kwajili ya usalama mkuu nasio kuhadaa mtu?Usitetea ni ukweli kabisa
Makongoro road taa zilikua haziawaki
Kenyata road kuanzia pale stand ya igombe had round about ya ccm kwenda nyerere road wamefunga taa za bulb ambazo zinawaka siku nzima.
Wanafanya maigizo tu hakuna jipya hapo
Kwanini mnanikumbusha zile ziara za awamu ya nne?Jiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.
Hili ni jambo la kawaida mkuu.Jiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.